Baadhi ya marais wenye elimu kubwa Afrika, Rais Magufuli ashika namba tano

Bora yule Bashite mwenye vyeti feki kuliko elimu kubwa isiyokuwa na msaada kwa wananchi wako.
 
Rich Pol,

Toa na orodha ya marais wenye elimu kubwa waliowahi kuleta maendeleo ya maana kwa mataifa wailoongoza.
 
Elimu ya Darasani bila Busara ni Upupu

Elimu Darasani bila Hekima ni Ujinga
 
Kuna watu wana degree kumi na moja za facult 11 tofaut tofauti sasa wewe huyo namba tano ana kadegree kamoja tuu tena ka kemia alafu unasema readers are the leaders tena kwa kadegree kamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nikusahihishe kidogo, kwenye hiyo list namba mojawapo ni Mugabe, ila kwa vile anachukiwasana na watu, imemjengea stigma hata kwa hao observers.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…