Baadhi ya matukio yatakayotokea mwaka huu 2024

Hizi tabiri ziwasaidieni ninyi na familia zenu.

Sometimes hazina maana yoyote, zipo kimtego sana kutabiri mambo ya hovyo ili likitokea jambo la kufanana mnafufua nyuzi zenu.
 
Nabii wa Machafuko. Hamna zuri lolote anaaloliona?
Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo
 
no1. naisubiria kwa hamu watoto wanalia sana huku mamba mpinji bila kujuwa wanataka nini..
 
Hizi tabiri ziwasaidieni ninyi na familia zenu.

Sometimes hazina maana yoyote, zipo kimtego sana kutabiri mambo ya hovyo ili likitokea jambo la kufanana mnafufua nyuzi zenu.
Mkuu soma taratibu mpaka mwisho
 
Kila mwaka mtu maarufu hufa duniani.
Hizi ni tabiri tarajiwa
Sasa mwaka huu kuna Watumishi wa Mungu wakubwa sana Duniani na walioifanya kazi yao vizuri watakufa...Ila watakuwa ni mbegu ya kuzaliwa Kwa uamsho mpya kwa wengi
 
Ktk medani ya burudani Mwaka 2024 kifo cha kwanza ni cha "mwanamuziki" mkubwa duniani ...alafu hao wana michezo wengine watafuata
Hili nalo tayari limenaswa
Yupo na Msanii maarufu sana Tanzania anayejihusisha na biashara ya dawa za kulevya, unabii unaonesha asipojirekebisha huu mwaka atafungwa.
 
Huwa nawashangaa watabiri weusi kwanini huwa tabiri zao zinalenga mambo mabaya mabaya tu yakuogofya.
Sijawahi sikia tabiri za Neema na Baraka

Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app
Yakianza kutokea utauona weupe wake
IKIWA ROHO YA MUNGU WAKATI WA GIZA ILITULIA JUU YA VILINDI VYA MAJI NA KUFANYA MAMBO MAKUBWA YA KIUMBAJI SEMBUSE UTABIRI MWEUSI?
 
Hili nalo tayari limenaswa
Yupo na Msanii maarufu sana Tanzania anayejihusisha na biashara ya dawa za kulevya, unabii unaonesha asipojirekebisha huu mwaka atafungwa.
Acha porojo za enzi za ujima,haya mambo sijui ya kujifanya kila mtu nabii ndio yanawachelewesha,ishi maisha ya uhalisia achana na hizo ndoto za alinacha.
 
Acha porojo za enzi za ujima,haya mambo sijui ya kujifanya kila mtu nabii ndio yanawachelewesha,ishi maisha ya uhalisia achana na hizo ndoto za alinacha.
Mkuu nipo hapa kwenye ujima, nakuangalia
 
Moderator hizi flashes zinafanya tusiweze kusoma kwa raha humu,inatosha ziondoeni,imekua kera sasa,
Inabidi mtu usubiri hizi flashes zipotee eneo unalosoma ndio uendelee kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…