Baadhi ya matukio yatakayotokea mwaka huu 2024

Sawa ngoja tusubiri
Bado siyo mapema sana, na muda unatembea na kusudi lake.
Mungu aisaidie Japan, tayari Leo wameupokea mwaka na tetemeko lenye ukubwa wa 7.6 na limeipiga miji ya katikati.
 
How to survive 2024 in Tanzania [emoji1241]
1. Sitaki
2. Sina
3. Sitaweza
4. Sipo
5. Haiwezekani
6. Haipo
7. Imeisha

[emoji817][emoji817][emoji16]
 
Katika yote hayo litakalotimia ni hilo namba 5 pekee.
 
Katika yote hayo litakalotimia ni hilo namba 5 pekee.
Fuatilia Japan ndani ya saa moja likilopita ni nini kimetokea au angalia hapo juu nimeonesha, tuendelee kuhakikisha.
 
Sisi nyuzi kama hizi huwa tunazi-quote, halafu tunasubiri mwezi hadi mwezi...

 

View: https://youtu.be/EZJT6oe2980?si=IYdQIHQ5gK9btQyu
 

View: https://youtu.be/EZJT6oe2980?si=IYdQIHQ5gK9btQyu
 
Ajali Tayari Japan [emoji627]
 
Sema inaonekana Japan matetemeko ni jambo la kawaida, huwa yanatokea sanaa mpk raia wamezoea
 

Attachments

  • Screenshot_20240103-150304_Instagram.jpg
    123.5 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…