Baadhi ya miradi ya uwekezaji inayoweza kufanywa na wastaafu

Mzee mwenzangu bado ana nguvu za kutafuta wa Uzeeni?

Mimi nina mmoja nilimpata nikiwa na miaka 68, saivi nipo namlipia ada

Ndiyo maana nisingependa Wazee wenzangu kurudia hilo kosa 😜
Hii ndio raha ya kuwa mwanaume mpaka miaka 68 bado unaperfom...!
 
Nimeipenda hii hakikaπŸ˜…
 
Hakuna haja ya kuanzisha mradi mpya katika umri maana muda sio mrefu utaaga dunia.
 
Hakuna haja ya kuanzisha mradi mpya katika umri maana muda sio mrefu utaaga dunia.
Utaisheje kabla hujafa

Maana Kuna watu wanaishi miaka mingi baada ya kustaafu

Hapo juu nimeeleza nina Mzee wangu amestaafu miaka ya 90 mwanzoni

Hadi sasa yupo hai, vipi angekuwa Hana kipato cha ziada? Maana Mishahara ya miaka ya zamani mingi ilikuwa haizidi elfu30
 
Hahaha.............ukiendelea kumbembeleza atakubali tu, maana hata yeye alisema anatamani kumpata wa kumtuma glass ya Maji 😜
Unajua mzee mwenzangu, hii inahitaji mbinu kidogo, natafuta kamkoko kwa ajili yake...

..nikimwambia kamkoko haka ni kwa ajili yako najua usiku wake napewa na kuambiwa babe miminia yoteπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£
 
Hahaha..................hiyo mbinu lazima ifanye kazi, maana last time alishaanza kuulizia bei ya matairi size 16😜

Ila hapo kwenye kumimina yote huwa ni moment nzuri sana Kwa sisi Wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…