Baadhi ya ndugu wauza nyumba ya familia Kariakoo iliyokuwa na waqfu. Mapanga yatembea nje nje

wewe wakishua ndo' maana hutaki makelele.
 
Huyo mkinga naye kanunua nyumba kiboya, nyumba ya urithi kama walivyosema wadau haiuzwi kienyeji hivyo bila kupata hati ya ridhaa ya watoto wote ambayo imesainiwa kisheria (wakili au mahakama).
 
Mudi wa saigon na Faiza wanatafuta angle ya kuingiza mfumo Kristo na Nyerere wanawadhulumu waislam nyumba za wazee wao Kariakoo.
 
Ni kweli ila huyu binti yeye analinda wosia wa baba yake
Kuna zaidi ya kulinda wosia wa baba. Jaribu kupanua masikio na ikibidi usikilize kwa macho. Kwanza anadai yeye ndiye aliyekuwa anamsaidia baba yake kujenga na pia aliacha gharofa nne tu lakini yeye akaendeleza. Hii inaonyesha kuna mgongano kwenye kunufaika na kodi na nyumba kwa ujumla. Hili suala la wakfu analitumia tu na sidhani kama fedha za mauzo zingekuwa zinaenda kwake zote wakfu ingekuwa kikwazo.
 
Haviendani kivipi ? Umetazama video zilizokuwa attached ?

Pia moderator wa jf wana tabia ya kuedit vichwa vya habari
Huenda wameedit maana kichwa kinasema Imamu adaiwa kuuza nyumba ya Familia..

Wakati Contents Ya habari ni kuwa Imani alifatwa na kushawishiwa kukubali Washirikiane kuuza pamoja na watoto..

KIchwa kingekuwa Baadhi ya wanafamilia kwa kushirikiana na Imamu wauza nyumba ya familia..

Kwanini kwa sababu Inaleta hoja fikirishi kudhaniwa kuwa Imamu ndo aliamua mwenywe kuuza..Nyumba hiyo bila wanafamilia kujua
 
Nlishaenda nyumbani kwa kijana wke oysterbay beach house kununua gari...nlimfuata hapo victoria ofisini kwake
 
Kuna BAUNSA mmoja hapo amekula UBAPA WA PANGA hadi akakimbia πŸ˜‚πŸ˜‚
 
So Kasema kamalizia floor 4 yeye
Kwa kod anazowapiga wenzie, kwenye frem za electronics na wauza saa. Huyo dd ana masharti Kinoma kwenye nyumba yake
1. Nyumba una ghorofa 5 huko juu kuna store wa awake hawaruhusiw kupanda bila kujifunika kuchwa
2. Ni mkubwa ila ukimsalimiia shkamooo mnakosana
3. Ukifunga frem usije siku hiyo bila kumwambia ni kosa
4. Sio ruhusa kufunga mapema
5. Huruhusiw kwenda kwenye frem ya mwenzako muongee
Yani masharti ni mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…