Baadhi ya viongozi CCM, tunzeni akiba ya maneno mnapokuwa mnazungumza

BIOTOXINS

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2026
Posts
1,091
Reaction score
2,283
Katika maisha kuna jana, leo na kesho. Yote ni historia.

Na unapokuwa katika safari ya kisiasa, akiba ya maneno inasaidia sana.

Mlikuwepo, mpo na mtaondoka. Unapopewa nafasi, usitumie nafasi hiyo kwa maslahi yako binafsi. Tambua una ndugu, familia na jamaa.

Nawakumbusha, walikuwepo na watakuwepo. Jumapili njema.
 
Ugomvi wangu makubwa nipo na Mzee wa Gombe na tuvijana wake wapuuzi wapuuzi🤔.Kwa sababu hizi hizi.
 
Back
Top Bottom