Unaweza kuniambia pia kwamba wewe ndiye Magufuli mwenyewe, lakini kama wewe si Magufuli, ukiniambia wewe ni Magufuli, kuniambia huko hakukufanyi uwe Magufuli.kitu ninachoweza kukwambia ni kwamba hajafariki.
MATAGA wanatapa tapa sanaHawa wengine uwezo wao mdogo wa kufikiri unajionesha hata kwenye majibizano nao hapa.
Anaingiza habari za Malkia kwani Malkia kajifungia wiki mbili ndani?
Kama hii ndiyo gia yake ya kututoa kwenye mjadala anatumia tricks za kitoto sana.
Mbona unaandika kwa kupanick.Kwani wamesema nini.Kama unaogopa kusema si ungeacha kuandika humu. Wachukuliwe hatua na nani,kwa sababu gani, wamesema nini. Vyombo vya wenzetu viko huru usidhani wanazibwa mdomo na pua kama hapa kwako. Tena ukajisahau kabisa eti,wachukuliwe hatua,bila kueleza sababu hasa.Lakini pia kuna International Laws zinazowalinda. Wenzetu sio wabongo, wana uhuru wa kutoa habari. Midomo yao haijabanwa na makufuli kama hapo kwako. Subiri mahakama kuu.Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.
Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Hatathubutu, walishaambiwa wasiseme.Kwani hayo magazeti yamesema kitu gani kuhusu Tanzania?
Ni vizuri ukaweka nakala ya hayo magazeti kwanza, then tujadili.
Duhwaje wajifunze kwa habib mchange na musiba jinsi ya kuendesha magazeti kwa uweledi kabisa
View attachment 1723109
na ndio sababu hata Yeye na wasaidizi wake hawaoni sababu ya kufanya hivyo.Sawa,
Kama Magufuli yupo hai, mzima, kwa nini inakuwa vigumu sana kumuonesha kwa kadamnasi, kusema huyu hapa rais mzima, watu waondoe shaka na uzushi wote uzimwe?
Wananchi wa Tanzania wana haki ya kikatiba ya kujulishwa mambo muhimu yahusuyo mustakabali wa nchi yao.Serikali ya TZ haipo kwa ajili ya kukanusha uongo..
Nikithibitisha ni mzima wa afya na hajafa ili kukanusha taarifa za kukisia tu mtandaoni nitakuwa natumia nguvu kubwa sana kukuridhisha.Hujathibitisha kwamba yupo mzima na hajafa.
Hizi si taarifa za kisiasa tu. Nchi ipo katika sintofahamu Rais yupo wapi.Nikithibitisha ni mzima wa afya,na hajafa,ili kukanusha taarifa za kukisia tu mtandaoni,nitakuwa natumia nguvu kubwa sana kukuridhisha.