Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

Ndo akina nani na nani hao?
Whoever the big cheese is, what does it matter who the individual is?

The point is, why don't they refute these so called speculations with irrefutable facts, by showing that the president is alive and kicking, just as they did in the case of Dr. Mpango?
 
Da tunataka hata nchi za wenye akili wawe Kama banana republic?sidhani
 
aQUOTE="imhotep, post: 38336314, member: 105391"]
Kikwete alikuwa anayaweza sana haya mambo ya damage control awasaidie hawa wachunga Ng'ombe naona maji yamewafika shingoni
[/QUOTE]
People Daily waliweka wazi kila kitu hadi safari ya kwa Akina Andhaa Kanoon.
 
Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.

Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Ushikamane na nani
 
Ndg mbona unanifokea,
Google Gazeti la People Daily bana aaagh.
 
Suala si uongo au ukweli. Suala ni kuhabarisha mambo ambayo nchi haitaki yawe wazi kwa sasa. Jamaa hawana heshima kwa nchi.
 
W
Wanajisifu kuwa wait Wana huduma Bora za matibabu kuliko nchi yeyote ukanda huu. na kwamba kwao Sasa imekua Ni Kama utalii wa kimatibabu.
Inaniuma Sana wallah
Sisi tuna huduma bora za usafiri wa anga na punde tutakuwa na huduma bora za umeme. Nagema ulanzi hapa nilipo.
 
Wewe ya humu ndani huyasomi au wewe kiswahili hukijui hadi unafuatilia tu magazeti ya nje
 
Hata kama hatukumchagua anaishi kwa kodi zetu hata aliko anatumia kodi zetu He is a public figure and not somebody's errand 👦. Where is our president. It is a rightful demand and not a request.Abbas come out.
 
Habari za uongo walizoandika ni zipi mkuu?maana mimi nipo namtumbo huku sijui hao nchi jirani wameansika nn &maana ulivyoandika utazani wote tupo karibu na nchi jirani
Ukiwa Namtumbo hakuna nchi jirani? Hata aliyeko Tunduma, Ngara, Mtwara, Namanga, Mara, Pangani, nk wote wako karibu na nchi jirani
 
Ukiwa Namtumbo hakuna nchi jirani? Hata aliyeko Tunduma, Ngara, Mtwara, Namanga, Mara, Pangani, nk wote wako karibu na nchi jirani
Hoja ni nini walichoandika nchi jirani ya alieko mleta mada &kujua hili nalo hadi ufundishwe na wazazi wako?
 
Kwanza kabisa, Kiranga si rais wa nchi.

Mpaka hapo ushajionesha hujui kulinganisha vinavyofanana kulinganishwa.
hata rais wa nchi sio kiranga.

kwamba atakurupuka alipo sababu watu wanamtafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…