Baadhi ya wadada wanaorusha video zao mitandaoni, huwa wana ndugu na wazazi kweli?

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Habarini,

Jana nilipita pita Facebook nikaona video moja toka kwenye ukurasa wa alli mastory mdada alijirekodi video akiuliza, akiwapa nafasi wanaume wachague chochote (zingatia neno chochote) cha kumuomba kwenye mwili wake, watamuomba kipi, akajionyesha upande wa mbele, huku akiuliza kama watamwomba mbele, halafu akageuka na kutingisha makalio yake na kuuliza au watamwomba hii (akimaanisha makalio) halafu akasema anavyojua wanaume watamuomba hii (huku akitingisha makalio).

Hapa wandewa wenye D mbili mmemuelewaje huyu binti? Wazazi na ndugu zake wakiona hiyo video watajisikiaje? Dhumuni la huyo binti kujirekodi video ya hivyo ni nini?

Hapa chini ni picha za screenshot ya hiyo video Mzee wa kupambania The only mrangi BICHWA KOMWE - nzalendo Extrovert Equation x


 
Hayo yote ni dunia
 
Hawa huiga toka kwa hao wazazi wao.. Wazazi wa hovyo hukuza watoto wa hovyo
 
Hizi ni burudani tu
Wala hamaanishi...
Anatafuta followers tu
 
Utakuta wao ndio wanao walisha hapo nyumbani. Kuna ujinga mwingi kwenye jamii yetu unao lelewa na hao wazee wake.
uko sahihi
kabla sijaokoka kuna nyumba(ubanda) tulikuwa tunakunywa gongo...huyo mama muuza ana vibinti vitano...ndio vihudumu,,,,halafu ukitaka kuondoka na kamoja unampooza maza buku 5......
Sasa vibinti vya malezi ya dizaini hii kujirekodi hivyo kwao ni jambo dogo saana
 
Ukiishi kwa kuogopa watu watakusemaje....utafeli. Ishi maisha yako.
 
Hakika ni CHANGAMOTO....pia kuna ile clip ya wale mabinti,walikuwa 6 au 7 nadhani wa Mwanza( wasikika wakisema hivyo) ,walikuwa wakipita mmoja mmoja kunako camera..yaani maneno waliokuwa wanayasema..dah ..tuzidi kumuomba Mwenyezi Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…