Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Kwer kabisaMaisha yamebadilika, hayo mazingira mazuri anayoishi pamoja na kula ni gharama, wazazi wanamtegemea huyo binti awape mkate.
Na chanzo pekee kinachompa kipatio ni huo mwili.
Na hii inatokana na mabadiliko ya kidunia ya kutaka hela ndio ibadilike kuwa unga, kitunguu, chumvi, mchicha n.k; wengi hatutaki kufanya kazi za uzalishaji kama; kilimo, ufugaji n.k