Baadhi ya wadada wanaorusha video zao mitandaoni, huwa wana ndugu na wazazi kweli?

Baadhi ya wadada wanaorusha video zao mitandaoni, huwa wana ndugu na wazazi kweli?

Habarini,

Jana nilipita pita Facebook nikaona video moja toka kwenye ukurasa wa alli mastory mdada alijirekodi video akiuliza, akiwapa nafasi wanaume wachague chochote (zingatia neno chochote) cha kumuomba kwenye mwili wake, watamuomba kipi, akajionyesha upande wa mbele, huku akiuliza kama watamwomba mbele, halafu akageuka na kutingisha makalio yake na kuuliza au watamwomba hii (akimaanisha makalio) halafu akasema anavyojua wanaume watamuomba hii (huku akitingisha makalio).

Hapa wandewa wenye D mbili mmemuelewaje huyu binti? Wazazi na ndugu zake wakiona hiyo video watajisikiaje? Dhumuni la huyo binti kujirekodi video ya hivyo ni nini?

Hapa chini ni picha za screenshot ya hiyo video Mzee wa kupambania The only mrangi BICHWA KOMWE - nzalendo Extrovert Equation x

View attachment 3139608
View attachment 3139609
Kwa sisi ambao hatuna FB unatusaidia vp kiongozi
 
Sasa mafundisho SI ndo mpaka ayaelewe na ayazingatie kama asipozingatia je wewe utakuwa huna malezi ni sawa na kusema mwalimu hakufundisha pale mwanafunzi anapofeli.

Hujawahi ona familia watoto wengine kuwa na maadili wengine kuharibikiwa?
Ni kwel usemacho. Akiyakataa mbona mzazi unajua mapema tu hapa kuna mtu au hakuna.
Lakin hata atleast atakua ana awareness kuwa hiz si njia wazaz wangu wanapenda so bado italeta tofaut na yule asiyefunzwa kabisaa
 
Habarini,

Jana nilipita pita Facebook nikaona video moja toka kwenye ukurasa wa alli mastory mdada alijirekodi video akiuliza, akiwapa nafasi wanaume wachague chochote (zingatia neno chochote) cha kumuomba kwenye mwili wake, watamuomba kipi, akajionyesha upande wa mbele, huku akiuliza kama watamwomba mbele, halafu akageuka na kutingisha makalio yake na kuuliza au watamwomba hii (akimaanisha makalio) halafu akasema anavyojua wanaume watamuomba hii (huku akitingisha makalio).

Hapa wandewa wenye D mbili mmemuelewaje huyu binti? Wazazi na ndugu zake wakiona hiyo video watajisikiaje? Dhumuni la huyo binti kujirekodi video ya hivyo ni nini?

Hapa chini ni picha za screenshot ya hiyo video Mzee wa kupambania The only mrangi BICHWA KOMWE - nzalendo Extrovert Equation x

View attachment 3139608
View attachment 3139609
Hao mnaozaa na kutelekeza hajui Baba, Hajui Mjomba na wala hana Shangazi.

Haya ndio matokeo.
 
Mwambie akaanze kumchunguza Mama yake, unapoenda kuchumbia mtu wa kwanza kumwangalia kabla hujaoa ni Mama mkwe ukiona Mama mkwe namna gani ahirisha mchakato haraka sana la sivyo jiandae watoto wako wa kike wote watakua sampuli ya Bibi yao

Baba hata akiwa Chakalamu usimzingatie sana akiwa mtu wa fegi sana usimzingatie ukimkuta ni mtu wa tungi sana usimzingatie jicho lako liangalie Mama wa mkeo yupo yupoje maana tabia zake ndio tabia za mkeo
Umefunga uzi
 
uko sahihi
kabla sijaokoka kuna nyumba(ubanda) tulikuwa tunakunywa gongo...huyo mama muuza ana vibinti vitano...ndio vihudumu,,,,halafu ukitaka kuondoka na kamoja unampooza maza buku 5......
Sasa vibinti vya malezi ya dizaini hii kujirekodi hivyo kwao ni jambo dogo saana
Sahihi
 
Najiuliza ukiachana na u-content creator, hao wadada wakijirekodi wanatingisha makalio yao, wanafikisha ujumbe gani kwa jamii? Mimi natafsiri kwamba wakitingisha makalio yao, wanamaanisha kuwa wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile. Numbisa Saint Topman Michael
Sidhani kama hicho ndo wanachomaanisha, wanajua makalio ni kivutio cha wanaume wengi, kwaio wanatumia hio weakness kupata views.

Na naweza pia kusema wengi wao wanatumia hio fursa kutangaza biashara zao za ukahaba.
 
Kuna familia huwa hazijali kabisa. Enzi nikiwa fukara nilipanga chumba Msimbazi bondeni na kuishia kujionea vituko nilivyokuwa nikivisikia na kusoma kwenye magazeti ya Shigongo. Nyumba niliyokuwa nikiishi pia alikuwa akiishi mwenye nyumba na familia yake yenye watoto na wajukuu. Kijana wake mkubwa alikuwa na mabinti zake hapohapo. Huyu kijana alikuwa akitafuna mabinti haijapata tokea. Ubaya ni kwamba alikuwa akiwatafunia palepale kwao hata mida ya mchana. Na nyumba haikuwa na ceiling board wala umeme kwahiyo miguno ilikuwa inasikika LIVE. Katika mabinti zake watatu ni mmoja alifanikiwa kufanya mtihani wa form IV akiwa na mimba. Wengine waliishia shule ya msingi. Mimi hadi naondoka pale nilifanikiwa kumla manzi mmoja tu wa huyo jamaa na mama flani alikuwa akiishi jirani.
 
Sababu ya kwanza ni kwamba wanaiga eidha kwa wazazi au watu waliowazidi umri. Kuna wazazi/walezi wanakua proud mtoto akiwa hivyo.

Pili wazazi/walezi hawapo au hawana mamlaka (say) juu yao, kuna video giggy money anamkaripia mama yake kama mtoto mdogo na kumchapa shit kua yeye ndo anamlisha, so sometimes umasikini wa wazazi wao unafanya wasiwe na la kuonya juu ya mienendo ya watoto wao.

Tatu ni kua wazazi/ndgu wapo ila ndo binti ameshindikana na anaishi maisha yake anayojua yeye "no one cares".

Nne ni video kuvuja, labda kamtumia rafiki, rafiki akamtumia rafiki end of the day ikamfikia mtu mtafuta followers akaiweka na kumkandia huyo binti kua kapotoka, jamnii haina maadili na ishu kama hizo.
 
Back
Top Bottom