Baadhi ya wadada wanaorusha video zao mitandaoni, huwa wana ndugu na wazazi kweli?

Baadhi ya wadada wanaorusha video zao mitandaoni, huwa wana ndugu na wazazi kweli?

Kuna mawili
1. Wazazi na ndugu wamejitahidu wamechoka naye tabia zake

2. Malezi mabovu

Uzuri dunia itawafunza mbeleni huko wakati hawana soko tena ila kwa sasa scha watumike kwa fantansies za wahuni
 
Back
Top Bottom