Baadhi ya wadada wanaorusha video zao mitandaoni, huwa wana ndugu na wazazi kweli?

Yote sababu ya attention, 🤑💰💲💸
Mmh ni kupata attention tu na pesa, najiuliza mdada kama huyo kwenye 6 kwa 6, ukimbembeleza vizuri si anatoa tigo, looh, sio kwamba anautangazia uma kuwa anapenda kufanya kinyume na maumbile jebs2002
 
Hao karibia wote ni kizazi hiki cha2000.
Kizazi hiki Watoto wameathirika na matumizi ya Arv,P2,majira nk.
Hawasikii kamwee.

Wazazi wao uzungu mwingi.kuna jamaa aliwahi nitumia clip aliyorecord direct kwenye simu.

Dada yake akiwa live TikTok. Kitu pekee alichoniuliza kama wewe una dada wa aina hii utafanyaje rafiki yangu?

Yaani clp aliyotuma haizid sekunde 17 lakn unaweza kutetemeka mwili mzima kwanza anadai yeye anatoa nyuma Kwa bei kubwa kule mbele bei chee hayo alikuwa akijibu wafuasi wake wanao muuliza kama anatoa nyuma pia!

Jamaa nilimwambia usimruhusu tu aje kwako! Usiruhusu Watoto wako waende kwakwe. Waambie wazazi Kisha mtumie hii clip mwambie asipojirekebisha basi futa udungu nae.
 
Mwambie akaanze kumchunguza Mama yake, unapoenda kuchumbia mtu wa kwanza kumwangalia kabla hujaoa ni Mama mkwe ukiona Mama mkwe namna gani ahirisha mchakato haraka sana la sivyo jiandae watoto wako wa kike wote watakua sampuli ya Bibi yao

Baba hata akiwa Chakalamu usimzingatie sana akiwa mtu wa fegi sana usimzingatie ukimkuta ni mtu wa tungi sana usimzingatie jicho lako liangalie Mama wa mkeo yupo yupoje maana tabia zake ndio tabia za mkeo
 
Umeongea fact mkuu
 
Mkuu sio mke wake ni dada yake tumbo Moja ndo alikuwa live TikTok anaulizwa nyuma anatoa na baadhi ya followers wake na akajibu ndio pamoja na dau lake
 
Umeongea fact mkuu
Ndio hivyo mkeo anachukua tabia za Mama yake completely haachi hata 1 kwa hio make sure mama wa mkeo unamfahamu vizuri sana kabla ya kuoa la sivyo subiria kitu kizito maana tabia zote za Bibi yake zinaishi kwa Mama yake na Mama anazorithisha kwa watoto wake sasa akipata watoto wa kike anazirithisha zote ziwe njema au mbovu kwake yeye anaona ni suala la kawaida sababu ndio mazingira aliyokulia hayo kafunzwa na Mama yake aliemzaa inapokuja option ya kufunzwa na ulimwengu ameshakomaa sasa zile tabia zimekita mizizi huwezi kuzing'oa, ndio maana baadhi ya wanaume waliokosea njia wakazaa na wanawake wa ajabu wakitengana hua wanapambana kuchukua watoto wao maana kifuatacho Mama atarithisha zile tabia kwa watoto wote aliowazaa
 
Afu ni binti mdogo kabisa,haya ni malez ya singo mama,kuna watoto hulelewa na mzaz mmoja na kuaminishwa hakuna wengine wa muhimu zaidi ya huyo mamaake na hakuna ndugu mwingine mwenye msaada kwao kwahyo anaishi kama ana ndugu mmoja tu ambae ni mama ake,hvyo hata mjomba akiona haina shida maana yeye na mjomba wake hawana uhusiano wowote
 
Mkuu sio mke wake ni dada yake tumbo Moja ndo alikuwa live TikTok anaulizwa nyuma anatoa na baadhi ya followers wake na akajibu ndio pamoja na dau lake
Ndio maana nimekwambia aanze na Mama yake, hizo tabia za dada yake zimetoka kwa mama yake kwa hio amdadisi Mama yake atapata jibu km ataweza kuvunja undugu na Mama yake pia sawa ila chain chanzo chake kimeanzia huko nilipokutajia
 
Afu ni binti mdogo kabisa,haya ni malez ya singo mama,kuna watoto hulelewa na mzaz mmoja na kuaminishwa hakuna wengine wa muhimu zaidi ya huyo mamaake na hakuna ndugu mwingine mwenye msaada kwao kwahyo anaishi kama ana ndugu mmoja tu ambae ni mama ake,hvyo hata mjomba akiona haina shida maana yeye na mjomba wake hawana uhusiano wowote
Hii pia ni fact na single mother's wanasoma humu wanakuelewa vizuri unachokisema
 
Ndio maana nimekwambia aanze na Mama yake, hizo tabia za dada yake zimetoka kwa mama yake kwa hio amdadisi Mama yake atapata jibu km ataweza kuvunja undugu na Mama yake pia sawa ila chain chanzo chake kimeanzia huko nilipokutajia
Oky mkuu uhalisia Huwa uko hivyo. Lakini Kwa kifupi tu Mimi namjua mshikaji na familia Yao mama Yao ni mtu wa makamo Sasa Si chini ya miaka55+ Hivi. Kwa mtazamo wa Nje yule mama hawezi fanya hivyo.

Yule binti alitoroka shule alipofika form3 tu na kwenda dar kakaa kule Kwa muda sana then akarudi kwao hakukaa muda akarudi dar Tena Hadi Leo ndo Yuko huko na upuzi anafanya akiwa dar huko.
 
Ndio hivyo mkeo anachukua tabia za Mama yake completely haachi hata 1 kwa hio make sure mama wa mkeo unamfahamu vizuri sana kabla ya kuoa la sivyo subiria kitu kizito maana tabia zote za Bibi yake zinaishi kwa Mama yake na Mama anazorithisha kwa watoto wake sasa akipata watoto wa kike anazirithisha zote ziwe njema au mbovu kwake yeye anaona ni suala la kawaida sababu ndio mazingira aliyokulia hayo kafunzwa na Mama yake aliemzaa inapokuja option ya kufunzwa na ulimwengu ameshakomaa sasa zile tabia zimekita mizizi huwezi kuzing'oa, ndio maana baadhi ya wanaume waliokosea njia wakazaa na wanawake wa ajabu wakitengana hua wanapambana kuchukua watoto wao maana kifuatacho Mama atarithisha zile tabia kwa watoto wote aliowazaa
Dah kweli
 
Back
Top Bottom