Baadhi ya Wanajeshi wa JWTZ wana tatizo la nidhamu?

Kama Jeshi la Tanzania lisingekuwa na nidhamu,Uasi unaouona katika nchi zenye vita ungeuona katika JWTZ.
Tatizo linaanza kwa raia. Wakisumbuliwa na kunyanyaswa kunazuka vikundi vya wanamgambo wakiraia.
Kutatokea vendatta na vigilantes watakao taka kisasi. Yatatokea makundi kama ya Kibiti na Cape Delgado Msumbiji ambayo yataungwa mkono na raia waliochoka manyanyaso ya jeshi la serikali.

Unafikiri kwanini Kibiti jeshi la polisi lilishindwa kudhibiti mauaji?
Sababu walikosa ushirikiano toka kwa raia.
Walipoingia polisi wakaanza kupiga na kunyanyasa ovyo raia bila kuangalia nani kahusika na nini.
Walipoingia JWTZ wakaruhusu watu watembee kwa Uhuru hawakusumbua raia wakapata ushirikiano.
Utaalamu wao pamoja na taasisi nyingine nyeti ukijumlisha na ushirikiano wa raia wakafanikiwa.

Yakianza makundi ya uasi wanajeshi wanaweza kushambuliwa na waasi ghafla na kwa urahisi sababu raia ndiyo wanawapa taarifa za intelijensia waasi mahala walipo wanajeshi wa serikali.

Nidhamu majeshini ni muhimu.
 
Ni kweli mkuu umedadavua kwa weledi
 
Kuna nadharia mbiliw au tatu;-

1.wamekiuka misingi fulani ya kazi zao baada ya kuchokozwa wakatoa kichapo kwa raia!

2.wana matatizo ya kisaikolojia hasira Kali ya kutotimiziwa haJa zao ndipo wakafanya displacement reaction Ili walau kupona sonona!!

3.wapo kwenye mission za siri na hicho kilichotokea ni sehem ya utekelezaji mission husika!!

4.wapo Wana search sare zao kwa namna ya kipekee kabisa kama walivotangaziwa!


"Rais anapofia madarakani taifa linakua katika uangalizi mkali kwa takribani miaka miwili" TumainiEl katika Uzi wake!!

Unaweza Ongezea na zako mkuu!

Mchana mwema wakuu!
 
Mkuu isije kua ww kitengo 🤣🤣🤣🤣🤣 unatutisha sasa
 
Siku raia wakichoka na kuamua kuchukua hatua mikononi kama alivyo fanya yule wa kawe itakua parapanda patachimbika, wakubwa wao wa kazi wanaona na wanajua tabia za vijana wao lakini wamechagua kuwaacha tuu, muda ni msemaji mzuri
 
Siku raia wakichoka na kuamua kuchukua hatua mikononi kama alivyo fanya yule wa kawe itakua parapanda patachimbika, wakubwa wao wa kazi wanaona na wanajua tabia za vijana wao lakini wamechagua kuwaacha tuu, muda ni msemaji mzuri
Ni kweli mkuu
 
Kama viongozi wa serikali wameingia kwa kuiba kura kuanzia mtaa kijiji kata jimbo hadi ikulu, unategemea nini kwa hao jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upo sahii mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…