Baadhi ya Wanajeshi wa JWTZ wana tatizo la nidhamu?


Siri?! Ndio maana Abdulrahman Shimbo aliwapiga pesa ndefu kwenye manunuzi ya hivyo vifaa na hakuna kitu mlimfanya!
 
Kama Jeshi la Tanzania lisingekuwa na nidhamu,Uasi unaouona katika nchi zenye vita ungeuona katika JWTZ.
Unadhani uasi hizo nchi nyingine ulifyatuka from nowhere kama kimondo?
Binti yako anaanza kunyoa panki na kuvaa mlegezo badala ya kuchukua hatua unamtetea kwa kudai kama ingekuwa vibaya angekuwa msagaji. Sasa si ndio anaelekea uko.
 
Binafsi tangu niliposikia ile Kauli ya Jeshi kutaka kuingia Mitaani kusaka 'Sare zao' kwa Raia nilipoteza Matumaini sana.

Mkuu mpya wa Jeshi ajifunze kwa waliomtangulia kuona waliweza vipi kuboresha mahusiano mazuri baina ya Jeshi na Raia..
Mambo hayapo kama tunavyo yaona mkuu
 
Siri?! Ndio maana Abdulrahman Shimbo aliwapiga pesa ndefu kwenye manunuzi ya hivyo vifaa na hakuna kitu mlimfanya!
Kwanza unapolitaja Hilo Jina Unatakiwa kutetemeka Kwanza Hata kama kastaafu..

Na kingine fanya Heshima kumpa Heshima yake anayostahili..

Anza na Luteni Jenerali malizia na Balozi Abdulrahiman Shimbo...

Haya Manunuzi ya kitu gani ambayo mpaka ww unayajua na unasema kuwa alipiga pesa
 
Sahihi kabisa, tatizo bado tuna katiba ya utawala wa chama kimoja.
 
-Bajeti ya Jeshi inapitishwa na Bunge na hata CAG anakagua vizur tu na anachapisha

-hadi manunuzi ya Jeshi yanakaguliwa na PPRA na wanatoa Ripoti
- Sehemu ambayo hata CAG akikagua haichapishwi kwenye Ripoti ni IKULU na TISS tu.
 
-Bajeti ya Jeshi inapitishwa na Bunge na hata CAG anakagua vizur tu na anachapisha

-hadi manunuzi ya Jeshi yanakaguliwa na PPRA na wanatoa Ripoti
- Sehemu ambayo hata CAG akikagua haichapishwi kwenye Ripoti ni IKULU na TISS tu.
Ndo nilichosema Mkuu unajua maana Ya Confidential au basi nitumie neno Clasfied profiled Doccuments ...
Ambazo hazitakiwi kuwa public...
Na ndo maana yangu...
 
Bajeti ya Jeshi inasomwa na Waziri wa Ulinzi na Inajadiliwa na Bunge na inapitishwa na Bunge kama Bajeti za Wizara nyingine
Kimachojadiliwa ni Pesa na sio Bajeti and plan au unataka nikutumia Hansard ya Bunge ya mwaka wowote...
Ukinganishe mjadala wa Wizara ya ulinzi na mjadala wa Wizara zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…