Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.
Wewe ni mwanasheria?

Una madini fulani, kisheria sawa. Ila kiJF utapeli nao nongwa.
Hapana mkuu 🀣

We umetapeliwa?

Naona walalamikaji walikuwa kima penzi zaidi!! Ni tofauti na wale wa kaleta tangazo la kazi,, mdau kamtapeli. Hao ndio wakuonewa huruma

Ila hawa wa zipu wazi
Wapambane na visanga vyao.
 
Mimi hapana. Sijawahi Mkuu.

Ko ukitapeliwa kwa sababu ya penzi hupaswi kuonewa huruma?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…