Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.
Na bado kuna zipu wazi wataliwa, pamoja na haya yote
JF ina watumiaji laki 6. Wanaume ni takriban laki 4.

Wanaochangia hapa hawafiki hata 30,000.

So, ana nafasi ya kuwapuna takriban watu laki tatu na ushee.
 
Na wee antiel mkorofii eeeeh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sauti ya kooni ndo ipi.. unataka kunichokoza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiohio unayoijua ya kutokea kooniii ..... !! Ashendweeeee kwajena la yesooooooooooo πŸ—£οΈπŸ—£οΈ!!
Ukitoka hapo koo lote linaumaa!
 
Hiohio unayoijua ya kutokea kooniii ..... !! Ashendeee kwajena la yesooooooooooo πŸ—£οΈπŸ—£οΈ!!
Ukitoka hapo koo lote linaumaa!
Unakua una ungiruma πŸ€“πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa kweli
 
Nikajiuliza imekuwaje nipendeke kirahisi hivi bila hata kuonekana, tena kwa kufatwa mpaka chumbani ndichi kabisa..?

[emoji23][emoji23]
Sema mtoto ana maneno aiseee
Kuna mtongozo wake mmoja niliuona, alooo mtt alijipanga 🀣🀭

Hiyo inatokea PP 🫣
Unajikuta unafall kwa mwandiko tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe yeye anajileta kwenu? Mie nikajua nyie mna mfata kupitia nyuzi zake za kujisifiaaa woiiiiiiiii.

Hapo ndo anakwamaa sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…