Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Akemee Kwa sauti ya kooni ausio 😂!Pepo pepo pepo.... Lishatoka puuuuuh kemea 😂😂🤓🤓🤓🤓
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akemee Kwa sauti ya kooni ausio 😂!Pepo pepo pepo.... Lishatoka puuuuuh kemea 😂😂🤓🤓🤓🤓
Na bado kuna zipu wazi wataliwa, pamoja na haya yoteSubiri kwa sasa yupo busy PM anahangaikia muamala. Atakurejea.
Inakera sana aiseeeee...."""*****🤓🤓😂😂😂😂😂😂😂😂😂Bora uende kiume, ueleze changamoto zako kuliko kujigeuza ke
Sana tu shem darling...Jack Palladino sitaki kuamini kama hujapitiwa shemeji
Na wee antiel mkorofii eeeeh 😂😂😂Akemee Kwa sauti ya kooni ausio 😂!
JF ina watumiaji laki 6. Wanaume ni takriban laki 4.Na bado kuna zipu wazi wataliwa, pamoja na haya yote
Nakuja pm kula ubuyu 😁Sana tu shem darling...
Karibu upate screenshots zote😀Nakuja pm kula ubuyu 😁
Nyie si mkishanusa ka harufu ka free P.. mnaelewaga basi?? Hata kukopa utakopaJF ina watumiaji laki 6. Wanaume ni takriban laki 4.
Wanaochangia hapa hawafiki hata 30,000.
So, ana nafasi ya kuwapuna takriban watu laki tatu na ushee.
Nikajiuliza imekuwaje nipendeke kirahisi hivi bila hata kuonekana, tena kwa kufatwa mpaka chumbani ndichi kabisa..?Yan shem darlin kumbe ulitakwa kuwekwa site kimya kimya [emoji23]
Shemeji vingine uwe unasema,, tuokoe hata muda wa kujibu pm 1
Shemeji fungua Pm 🤣Karibu upate screenshots zote😀
Hiohio unayoijua ya kutokea kooniii ..... !! Ashendweeeee kwajena la yesooooooooooo 🗣️🗣️!!Na wee antiel mkorofii eeeeh 😂😂😂
Sauti ya kooni ndo ipi.. unataka kunichokoza 😂😂😂😂😂😂😂
Unakua una ungiruma 🤓😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwa kweliHiohio unayoijua ya kutokea kooniii ..... !! Ashendeee kwajena la yesooooooooooo 🗣️🗣️!!
Ukitoka hapo koo lote linaumaa!
Sema mtoto ana maneno aiseeeNikajiuliza imekuwaje nipendeke kirahisi hivi bila hata kuonekana, tena kwa kufatwa mpaka chumbani ndichi kabisa..?
[emoji23][emoji23]
Nimefungua tayari😀Shemeji fungua Pm 🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe yeye anajileta kwenu? Mie nikajua nyie mna mfata kupitia nyuzi zake za kujisifiaaa woiiiiiiiii.[emoji1][emoji1]
Ukiwa mjanja kwenye hii tasnia, kitu cha kwanza cha kushtua ni kuona mwanamke eti amekufata yeye mwenyewe PM bila kuwa na mazoea nae.
We uliona wapi mwanamke na pride yake akaja kujitongozesha kwa mwanaume ambae hamjui? Ni rahisi mwanaume kufanya hivyo ila sio mwanamke.
Ukiingia mkenge kwa Id ya kike humu maana yake huko nje huna options, kitu ambacho si kweli.
Siku yakikukuta usisahau kutoa taarifamakichwa panzi yamejaa hata humu jf.... 😂 akishaona avatar yenye matacle basi kapagawa