Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.
Ukiangalia uzi wangu hakuna ushahidi wa sazi nlio uweka hapa ...pili lengo nikuzuia tabia kama hizi za kitapeli zisiendelee hakuna cha siri hapa .... na watu wenye tabia kama hizi wache mara moja
Hukutakiwa kumtaja... Wewe ungesema tu tabia flani sio nzuri sasa huko mbele watu wanaanza kumtaja wamejuaje kama hujawaambia PM sisi ni wanaume tuwe na kaba inabidi muwe mnajadili tu bila kumrelease mtu au kuonyesha ishara yoyote Ile itakayofanya member wamjue.

MIMI hii account yangu nilikuta imeunganishwa na account ambazo hata si zangu mpaka nililalamika jamiiforum lakini wakasema eti fake account zangu zimeunganishwa Kati si kweli. Nilikuta ujumbe wa kutisha watu wamepeana mawasiliano, wanamipango ya hatari yakuhatarisha usalama wao naniwatu ambao sikuzania wana mambo hayo ila nipo kimyaaaaaa kama sijui kitu because iam matured enough penye mengi Kuna mengi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom