Baadhi ya wanaume kiuhalisia wanatufanya tuonekane wote ni wapumbavu hapa JF

Baadhi ya wanaume kiuhalisia wanatufanya tuonekane wote ni wapumbavu hapa JF

Umeongea point,humu vichaa n wengi kuliko wenye akili timamu,afu hawana mbele Wala nyuma na nilichogundua ambao wanaongea pumba humu wengi ni waliojikatia tamaa ya maisha(wameachwa,wagonjwa au hawana hela),so wanaongea kwa hasira kujifarij.Ila huko mitaani tunaona sanaaa hao single mother ndio wanaongoza kuolewa tena kwa ndoa kuliko hata mabinti.

Mtaani kweli WATU wanapiga Sana mipira iliyokufa maana wengi wanaofanya hivyo ni uncivilized peoples
 
Ndugu mleta uzi nadhani ungeelekeza nguvu kwenye kuwakemea hawa feminists. Kuna mmoja juzi kupitia Clouds kasema kutembea uchi sio kosa kisheria. Imagine aliyetamka ni mwanamke.!!. Mwanaume naturally ana huruma kwa mwanamke. Pale Edeni ingekuwa Adam ndo katangulia kula tunda lazima angetelekezwa na Hawa ila Adamu aliona fresh tu ngoja nikafe na manzi yangu. Feminists, mababa wa kiroho na makungwi ndo unatakiwa upambane nao.
 
Screenshot_20231221-103904_Chrome.jpg
 
Uzi wako hauna research,hauna uzoefu kwasabu wew ni mwanaume kwahyo syo single mother.

Ukiuliza mwanamke yoyote ambae anajiita single mom kuhusu yeye kuishi maisha hayo atakwambia hataki kuishi kwa ratiba za saa ngapi awe home kupika na kufanya majukumu mengine kama mama wa familia na mke wa mtu.

Kiufupi hao single mothers hawapo hivyo walivyo kwasababu ya kuachwa au wanaume kukimbia majukumu ya kulea kwa mujibu wa maelezo yako,bali ni wao wenyewe na ndyo life style waliyochagua kuishi.

Ishu kubwa na inayoharibu taswira nzima ya dignity ya mwanamke kama ya single mother hukupaswa kuileta humu ndani koshabiki namna hyo na badala yake ulipaswa kuifanyia utafiti kutoka kwao wenyewe(single mothers) ili uzi wako ukae kisomi zaidi kwasababu syo kila mwanamke wa hivyo katelekezwa.
Mkuu kangesa,
Nashukuru kwa mchango huu.

Twende taratibu, Takwimu za wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), zinanonyesha mwaka 2019 talaka zilikuwa 442, 2020 talaka zilikuwa 511, 2021 talaka zilikuwa 50.
Kwa mujibu wa RITA mambo yanayochochea ndoa hizo kuvunjika ni pamoja na ukosefu wa uaminifu, ukatili na kutelekeza familia.

Katika pointi hizo tatu niambie kesi nyingi za ukatili, unyanyasaji hufanywa na nani? Je vipi kuhusu suala la ukosefu wa uaminifu?

Umeongelea suala la takwimu, tuende kwa takwimu.
Asante mkuu
 
Ndugu mleta uzi nadhani ungeelekeza nguvu kwenye kuwakemea hawa feminists. Kuna mmoja juzi kupitia Clouds kasema kutembea uchi sio kosa kisheria. Imagine aliyetamka ni mwanamke.!!. Mwanaume naturally ana huruma kwa mwanamke. Pale Edeni ingekuwa Adam ndo katangulia kula tunda lazima angetelekezwa na Hawa ila Adamu aliona fresh tu ngoja nikafe na manzi yangu. Feminists, mababa wa kiroho na makungwi ndo unatakiwa upambane nao.
Mkuu mama,
Unaweza kushare nasi hiyo vdeo?
 
Umeongea point,humu vichaa n wengi kuliko wenye akili timamu,afu hawana mbele Wala nyuma na nilichogundua ambao wanaongea pumba humu wengi ni waliojikatia tamaa ya maisha(wameachwa,wagonjwa au hawana hela),so wanaongea kwa hasira kujifarij.Ila huko mitaani tunaona sanaaa hao single mother ndio wanaongoza kuolewa tena kwa ndoa kuliko hata mabinti.
Sem kama kuna ukweli, sijui wana vidawa😂😂🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom