Baadhi ya wanaume kiuhalisia wanatufanya tuonekane wote ni wapumbavu hapa JF

Baadhi ya wanaume kiuhalisia wanatufanya tuonekane wote ni wapumbavu hapa JF

Mwanaume mwenye akili hadharau mwanamke...
Kwa sbb huyo mwanamke ni mama yake..or dada yake or binti yake or mke wake or shangazi yake au ni mzazi mwenzie aliemzalisha akamtelekeza...
Kuna wanaume humu wana level za juu za kujielewa..wapo wengi mno...
Ila pia kuna tabia za wanawake zinapelekea kudharauliwa...lakini ktk hao wanao ongoza kuwadharau hao wanawake wenye kaliba fulani hao ndo wateja wao wakubwa...
 
Mkuu Mtu,
Hakuna kitu ulichojibu zaidi ya ushabiki tu, ila nitakuuliza kwa muono huo.
Kama wanataka usawa kwa maana ya 50/50 kwanini wanaume wanakimbia na kuacha mzigo wa kulea mtoto wakati wote wanapaswa changia malezi ya mtoto nusu kwa nusu?

Unafahamu vyema kuhusu dhana ya 50/50 ni katika mazingira gani? Au tu umejibu kufurahisha watu?

Mkuu Mtukutu,
Nashukuru kwa mchango wako ila nilijaribu tu kusema niyaonayo.
Naunga mkono hoja
 
Duuh! Ki jf jf hao ni wa kuwazowea tu sababu kiuhalisia sidhani kama kuna mtu anapenda kuzalishwa na kisha kuachwa.
Upo sahihi, hakuna anayependa kuzalishwa na kuachwa, isipokuwa matendo yao hupenda kuachwa.
Sidhani kama hao "Kataa Ndoa" wanapimga mahusiano kati ya mwanamke na mwanaume. Kama nitakuwa nimewaelewa vizuri, basi wanachokipinga ni ndoa, hawana shida ma mahusiano yoyote isipokuwa ni ndoa. Wanapinga hivyo sababu ya commitment na wajibu ambao taasisi hiyo ya ndoa inahitaji.

Kuhusu Mwanamke kuzalishwa na kuachwa, hili inabidi liangaliwe vyema kabla ya kulijadili, sidhani kama kuna utaratibu kwamba Mwanamke akishika Mimba tu basi huyo aliye naye ndiye amuoe. Kuna wanaokimbia sababu wanajua fika katika mahusiano hayo hayupo mwenyewe kwa mwanamke wake huyo. Mwingine mahusiano yalipoanza alijirengesha ili apate mimba halafu aanze madai yake.

Kwa wale wanaokuwa wanatafuta mahusiano kwa ahadi ya ndoa halafu Mwanamke akashika mimba na wao kumkataa, hawa hawastahili kuwemo kwenye kundi la ambao mimi nimewajadili hapa.
 
Mwanaume mwenye akili hadharau mwanamke...
Kwa sbb huyo mwanamke ni mama yake..or dada yake or binti yake or mke wake or shangazi yake au ni mzazi mwenzie aliemzalisha akamtelekeza...
Kuna wanaume humu wana level za juu za kujielewa..wapo wengi mno...
Ila pia kuna tabia za wanawake zinapelekea kudharauliwa...lakini ktk hao wanao ongoza kuwadharau hao wanawake wenye kaliba fulani hao ndo wateja wao wakubwa...
Naunga mkono hoja mtani wangu
 
Nakuunga mkono katika hili la mtu kutodharau mwingine. Lakini si Mwanaume kutomdharau Mwanamke, ukiiacha hivyo, inaacha mlango wazi kwamba it's okay mwanamke kumdharau mwanaume, ila mwanaume anapaswa kuvumilia.
Mimi, kwa mtazamo wangu ni kwamba ,mtu, katika utu wake na kujitambua hapaswi kumdharau mwingine ma hata akiona mtu mwingime anafanya mambo kujidharaurisha, basi anapaswa kumsaidia sababu kimachokiwa kinadharaurishwa siyo Kalpana bali ni utu ndani ya Kalpana utu ambao pia upo ndani yangu ma wengine. Utu ambao tunapaswa kuuheshimu ma kuulinda.
 
Back
Top Bottom