Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
Ni mgongano wa mawazo tu jamani. Na nilichogundua wanaoanzisha hizi Mada chokonozi ni watu ambayo hawajakomaa kimawazo na hawana chagamoto zozote wanazokabiliana nazo. Wanaongea na kujiandikia mambo bila kuwa na uzoefu au ujuzi wa lile wanaloliandika.
Ishu ya Singo Maza ni ngumu sana kuielezea lakini kwa uzoefu wangu Singo Maza wengi huwa ni wepesi kujiingiza kwenye mitego ya Wanaume kwa lengo la kutafuta wepesi katika maisha na ndio maana wanajikuta wanapewa mimba na kuzaa watoto ambao hata Baba zao hawajulikani