Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,934
79%WANAUME WENGI WA JF KICHWANI UMEME MDOGO.
79%WANAUME WENGI WA JF KICHWANI UMEME MDOGO.
kuna mwingine humu anaishi idodomya .mkewe ni mfanyakazi analipwa vyedi...ila yeye analelewa.kazi kutumwa kulipa tu school fees..namchekigi nasema nhiii( in jpm voic)Wanaume ni wachache sana humu ndani, na hao wanaoandika hizo mada kama apakuliwi nyuma ya mwiko basi ni lichokoraa.
Mwanaume mwenye heshima, upendo na akili hawezi kukaa muda wote umiza mwanamke, single maza wanajiuza, mara wanawake ni kuliwa na kuachwa tu.
Mengine ndo haya haya yamesomeshwa na hawa masingle maza hadi limejua kuandika Team kataa ndoa, alafu ukiliona sasa sura kama mbegu ya ubuyu.
ACHENI UPUUZI, UNAFKI, UVULANA NA UMBUZI
"Kuna lingine lipo humu linalelewa na mwanamke ana mtoto mmja wa kiume, linawekewa mafuta kweny pikipiki yake, linalishwa hadi maji linayotumia kuchambia chooni bill linalipiwa alafu huku linajifanya lenyewe ndo lenyewe kumbe kinyamkela"
Jifunzeni kuheshimu wanawake sura zenu.
Khaa halafu akij hum kelele kibao 🤣🤣🤣kumbe.analelewa?kuna mwingine humu anaishi idodomya .mkewe ni mfanyakazi analipwa vyedi...ila yeye analelewa.kazi kutumwa kulipa tu school fees..namchekigi nasema nhiii( in jpm voic)
Eeeeeh naa lenyewe halioni hata aibu aiseh.kuna mwingine humu anaishi idodomya .mkewe ni mfanyakazi analipwa vyedi...ila yeye analelewa.kazi kutumwa kulipa tu school fees..namchekigi nasema nhiii( in jpm voic)
😂😂😂😂😂😂😂😂EeeeehWANAUME WENGI WA JF KICHWANI UMEME MDOGO.
UMEME HUU HUU WA CCM?WANAUME WENGI WA JF KICHWANI UMEME MDOGO.
natamani nimtag na ushahidi juu..ngoja nilewe ntamtagKhaa halafu akij hum kelele kibao 🤣🤣🤣kumbe.analelewa?
Madam ngap zinakutosha ili akili iwe sawa kwa ajili ya kumtag?natamani nimtag na ushahidi juu..ngoja nilewe ntamtag
😂😂😂😂Hapana ujumbe umemfikia wala usijisumbue my wangu😂😂😂😂😂natamani nimtag na ushahidi juu..ngoja nilewe ntamtag
😆😆😆Madam ngap zinakutosha ili akili iwe sawa kwa ajili ya kumtag?
👏 na huu uzi yu0po😂😂😂😂Hapana ujumbe umemfikia wala usijisumbue my wangu😂😂😂😂😂
Achana na maisha yangu 😬kuna mwingine humu anaishi idodomya .mkewe ni mfanyakazi analipwa vyedi...ila yeye analelewa.kazi kutumwa kulipa tu school fees..namchekigi nasema nhiii( in jpm voic)
Ngoja niangalie kwa makini🤣🤣🤣👏 na huu uzi yu0po
😂😂😂😂😂😂😂😂Mim taarifa ataipata hata kwa mawimbia ya sauti..👏 na huu uzi yu0po
Sisy umechefukwaaaaWanaume ni wachache sana humu ndani, na hao wanaoandika hizo mada kama apakuliwi nyuma ya mwiko basi ni lichokoraa.
Mwanaume mwenye heshima, upendo na akili hawezi kukaa muda wote umiza mwanamke, single maza wanajiuza, mara wanawake ni kuliwa na kuachwa tu.
Mengine ndo haya haya yamesomeshwa na hawa masingle maza hadi limejua kuandika Team kataa ndoa, alafu ukiliona sasa sura kama mbegu ya ubuyu.
ACHENI UPUUZI, UNAFKI, UVULANA NA UMBUZI
"Kuna lingine lipo humu linalelewa na mwanamke ana mtoto mmja wa kiume, linawekewa mafuta kweny pikipiki yake, linalishwa hadi maji linayotumia kuchambia chooni bill linalipiwa alafu huku linajifanya lenyewe ndo lenyewe kumbe kinyamkela"
Jifunzeni kuheshimu wanawake sura zenu.
Wamezidi kukutukania dada zetu, mama zetu na sisi wenyewe sis.Sisy umechefukwaaaa
Njoo kwa Mangi hapa nikushtue Light dada...uwasanue...natamani nimtag na ushahidi juu..ngoja nilewe ntamtag
😆😆😆....najibabua na sminrof ice hapa..hua nmchek nasema nhiii...mkewe ni shogangu bas tunamuenjoy tuNjoo kwa Mangi hapa nikushtue Light dada...uwasanue...
FreshMkuu ndio umeamua uniekee kapost kangu kabisa kakujitegemea #94. Lol 😂
Poa kabisa Mkuu. Mambo niaje?
Sure...yani mbegu wasambaze wao..mtaaa umeshonana wtt wasio na baba..halafu hao hao waje wawasimange hapana aisee...sisi kama madabo mother hatutakubali...Wamezidi kukutukania dada zetu, mama zetu na sisi wenyewe sis.