Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,797
- 22,359
Hapa kwenue boxer tupaache kwanza mkuu.wanavaa boxer za buku jero
Mimi navaa ya 800.
Kwan does it make any difference??
Hapa kwenue boxer tupaache kwanza mkuu.wanavaa boxer za buku jero
sasa si inachanika mapema sana mkuu!Hapa kwenue boxer tupaache kwanza mkuu.
Mimi navaa ya 800.
Kwan does it make any difference??
si wanataka usawa, inawashinda nini kulisha watoto
acha ujinga wewe
waelimishe hao wadada watulie walee watoto, waache mapepe
Hapana mkuu mimi sio mkwez kusema napanda miti mpaka boxer zichakae 😅sasa si inachanika mapema sana mkuu!
Mtu kuwazungumzia wanawake in a positive way mnaiita “kujipendekeza” kuwazungumzia in a negative way kama ifanyikavyo humu 24/7 mmeipa jina gani? Kuwarekebisha? 🤣🤣🤣Ukijipendekeza kwa wanawake haikupi assurance ya wao kukupenda. Hua wanaishia kukudharau. Acha kujipendekeza dogo, by nature wanawake wameumbwa kua submissive jifanye unamuheshim sana uone atakavyokudharau.
Nyie wanawake mna roho dhaifu sana, sisi wanaume Kuna wanawake tunawatunza na kuwalea miaka kibao lakini hatuwezi kuwatolea maneno kama hayo.Wanaume ni wachache sana humu ndani, na hao wanaoandika hizo mada kama apakuliwi nyuma ya mwiko basi ni lichokoraa.
Mwanaume mwenye heshima, upendo na akili hawezi kukaa muda wote umiza mwanamke, single maza wanajiuza, mara wanawake ni kuliwa na kuachwa tu.
Mengine ndo haya haya yamesomeshwa na hawa masingle maza hadi limejua kuandika Team kataa ndoa, alafu ukiliona sasa sura kama mbegu ya ubuyu.
ACHENI UPUUZI, UNAFKI, UVULANA NA UMBUZI
"Kuna lingine lipo humu linalelewa na mwanamke ana mtoto mmja wa kiume, linawekewa mafuta kweny pikipiki yake, linalishwa hadi maji linayotumia kuchambia chooni bill linalipiwa alafu huku linajifanya lenyewe ndo lenyewe kumbe kinyamkela"
Jifunzeni kuheshimu wanawake sura zenu.
Unahukumu wanawake wengine kwa makosa ya wanawake wengine, hii sio sawa. Hujawahi sikia familia ambayo mama ameilea na kuiongoza mwanaume anapofail kufanya hivyo? Mbona ni nyingi tu binafsi nazifahamu.Nyie wanawake mna roho dhaifu sana, sisi wanaume Kuna wanawake tunawatunza na kuwalea miaka kibao lakini hatuwezi kuwatolea maneno kama hayo.
Sasa nyie mwamba inawezekana mishe zake zilifeli anajitafuta mwanamke wake kugharamia bills tu kwa mda mfupi mnatokwa na maneno kibao.
Sentensi yako ya mwisho pia haipo sawa, sio mwanamke tu ndoa aheshimiwe ila binadamu wote wanapaswa kuheshimiwa
Jirani unatafuta demu humu ndani wa hapo waswanu huwaoni? 😂😂✋🏻Minaona wanafanya tunakataliwa na madem humu ndani🙄🙄
Asilimia kubwa ya wanaoandika hayo humu sio kwamba wanataka kuwatetea bali wanatafuta attention kwenu.(Simping)Mtu kuwazungumzia wanawake in a positive way mnaiita “kujipendekeza” kuwazungumzia in a negative way kama ifanyikavyo humu 24/7 mmeipa jina gani? Kuwarekebisha? 🤣🤣🤣
Sis, this is personal 😂😂😂Wanaume ni wachache sana humu ndani, na hao wanaoandika hizo mada kama apakuliwi nyuma ya mwiko basi ni lichokoraa.
Mwanaume mwenye heshima, upendo na akili hawezi kukaa muda wote umiza mwanamke, single maza wanajiuza, mara wanawake ni kuliwa na kuachwa tu.
Mengine ndo haya haya yamesomeshwa na hawa masingle maza hadi limejua kuandika Team kataa ndoa, alafu ukiliona sasa sura kama mbegu ya ubuyu.
ACHENI UPUUZI, UNAFKI, UVULANA NA UMBUZI
"Kuna lingine lipo humu linalelewa na mwanamke ana mtoto mmja wa kiume, linawekewa mafuta kweny pikipiki yake, linalishwa hadi maji linayotumia kuchambia chooni bill linalipiwa alafu huku linajifanya lenyewe ndo lenyewe kumbe kinyamkela"
Jifunzeni kuheshimu wanawake sura zenu.
Fata Mambo yako Mkuu....!Wakuu habari za uzima?
Unajua Jamii forums ni ni sehemu ya kuvuna maarifa, kuburudika, na hata kutengeneza marafiki na uhusiano miongoni mwetu.
Ndugu zangu na wapendwa wote jamii forum, kuna baadhi ya mambo huenda yakawa yanachukuliwa katika hali ya utani lakini yakawa na madhara hasi pasi na mtu kulitambua hilo.
Embu Tazama mfano;
Kijana mmoja anasema, singo maza ndio wanaongoza kutoa mbususu hovyo, na pia singo maza ndio wanaongoza kujiuza kwenye madanguro?
Fikiria hii sentensi ameandika akitaka kuonyesha kwamba yupo sahihi lakini kinyume chake ni kuendelea kuvua wanaume nguo.
Kama singo maza chanzo chake kikubwa ni sisi WANAUME, mwanamke mtu kamzalisha wameshindwana labda kwa sababu mwanamke ajatulia sawa, je hayo majukumu ya mtoto wako unamuachia nani?
Huyu singo maza kila atakapoenda kutafuta kazi ataombwa rushwa ya ngono, mwanaume tayari kashakimbia na hakuna huduma yoyote anayoitoa kwa mtoto wake.
Unafikiri huyu mwanamke atafanya nini kuendelea kumpa huduma muhimu mtoto wake? Mwisho wa siku ataishia kutafuta njia za kujirahisisha ili tu aendelee kumtunza mtoto wake kwasababu tu ya mwanaume mpumbavu asiyejua kwamba kuwa mwanaume kuna ambatana na majukumu mazito.
Wanasema chizi hufurahisha anapokuwa si nduguyo, ila kama ni nduguyo hicho ni kilio. Tumuulize tu kama dada yake akamkuta katika madanguro sababu ya mwanaume ambaye alimtelekeza yeye atajisikiaje?
Kama kijana huyu sasahiv ngozi bado imenyooka, damu bado ya moto, ananyoa anapendeza akifikiri kwamba ujana utakuwepo tu basi ni kujidanganya.
Ipo siku mtoto wako wakike na yeye atakuwapo katika madanguro kwa sababu ya mwanaume mpumbavu kama wewe ambaye ulishindwa kutimiza majukumu yakiume.
Embu fikiria huu mfano;
KATAA NDOA, UMIZA MWANAMKE.
Huyu ni mtu ambaye anasema umiza mwanamke, ambaye kaja kwa kupitia kati kati ya mapaja ya mwanamke huyo!
sasa tumuulize kama amesema umiza mwanamke je mama yake aliyemzaa alishamuumiza? Hivi wanaume huwa mnajaribu kufikiri mnachoandika hapa?
Je huyu aliyesema umiza mwanamke yupo tayari kumuona mama yake akinyanyasika mbele yake na akampongeza huyo anayemnyanyasa?
Jamani ndugu zangu embu tujaribu kufikiri japo kwa uchache mambo tunayoongea, hii sehemu inafika watu wengi sana.
Tunaweza kuonekana wengi ni wapumbavu wasio na maana sababu tu ya wachache ambao wanahitaji watu wakuwaweka busy kwa kusoma maoni yao.
Kama unahitaji kuumiza mwanamke aidha kwa kihisia, hawa wanawake wasipokuwapo unafikiri tutaendelea vipi kuongezeka?
Hao watu wakufanya kazi ya kuliendeleza taifa watatoka wapi na tayari mtu anasema umiza mwanamke?
Naomba tu ndugu zangu tujaribu kufikiri tunachokiandika hata kama ID tunazotumia ni feki, embu tujitahidi tu.
Yaani kila siku wanaume tunaendelea kuvuliwa nguo sababu ya watu wachache , tunaendelea kuonekana si lolote sababu ya mambo haya!
Mkuu Da,Asilimia kubwa ya wanaoandika hayo humu sio kwamba wanataka kuwatetea bali wanatafuta attention kwenu.(Simping)
Asilimia kubwa ya feminist wa mtandaoni hua wanaume
Mkuu kidonto,Fata Mambo yako Mkuu....!
Kama unataka siku moja uje na Uzoefu tofauti hapa JF, jaribu kufuga Kunguru....!
Mkuu wangu Tuo,Mkuu uzi ungekua umekiuka sheria ungefutwa!
nakushauri fungua mtandao wako afu ndio uweke hizo sheria
Simping is not illegal.Asilimia kubwa ya wanaoandika hayo humu sio kwamba wanataka kuwatetea bali wanatafuta attention kwenu.(Simping)
Asilimia kubwa ya feminist wa mtandaoni hua wanaume
Jirani ebu acha kuniharibia..🤣Jirani unatafuta demu humu ndani wa hapo waswanu huwaoni? 😂😂✋🏻