Baadhi ya wanaume kiuhalisia wanatufanya tuonekane wote ni wapumbavu hapa JF


Mtaani kweli WATU wanapiga Sana mipira iliyokufa maana wengi wanaofanya hivyo ni uncivilized peoples
 
Ndugu mleta uzi nadhani ungeelekeza nguvu kwenye kuwakemea hawa feminists. Kuna mmoja juzi kupitia Clouds kasema kutembea uchi sio kosa kisheria. Imagine aliyetamka ni mwanamke.!!. Mwanaume naturally ana huruma kwa mwanamke. Pale Edeni ingekuwa Adam ndo katangulia kula tunda lazima angetelekezwa na Hawa ila Adamu aliona fresh tu ngoja nikafe na manzi yangu. Feminists, mababa wa kiroho na makungwi ndo unatakiwa upambane nao.
 
Mkuu kangesa,
Nashukuru kwa mchango huu.

Twende taratibu, Takwimu za wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), zinanonyesha mwaka 2019 talaka zilikuwa 442, 2020 talaka zilikuwa 511, 2021 talaka zilikuwa 50.
Kwa mujibu wa RITA mambo yanayochochea ndoa hizo kuvunjika ni pamoja na ukosefu wa uaminifu, ukatili na kutelekeza familia.

Katika pointi hizo tatu niambie kesi nyingi za ukatili, unyanyasaji hufanywa na nani? Je vipi kuhusu suala la ukosefu wa uaminifu?

Umeongelea suala la takwimu, tuende kwa takwimu.
Asante mkuu
 
Mkuu mama,
Unaweza kushare nasi hiyo vdeo?
 
Sem kama kuna ukweli, sijui wana vidawa😂😂🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…