CHIEFMANGU
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 528
- 800
Huu msemo nimeuelewa sana yaani..Unasema hunaga time na simu yake, ila yeye anachukua ya kwako..!!!
When you see a horse 🐎 coming with nobody on it, Don't rejoice you have gotten a gift. First confirm what happened to the rider..🏇
Uaminifu haupimwi kwa imani tu, lazima uhakikishe na uthibitishe.
Tukikupa busara hautaelewa, maana kama imefikia hapo na bado unatuomba sisi ushauri maanake ni kwamba akili yako haitoshi kusimamia jambo la msingi kama hilo basi inatosha kusema endelea kukomaa na kufanya uchunguzi zaidi hadi uridhike kumuacha..Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua. Na hiki ndicho nilichokikuta.
Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.
Naomba mnipe busara zenu ebu.
View attachment 3226517View attachment 3226518View attachment 3226519
Ndio muachane na bikraHili sio swali ni kumtukania kama yake.
Wewe masuala ya mapenzi ya mama Yako unayafuatilia hauko sawa kimaadili.
Inaingia akilini hata kujiuliza "hivi mama aliolewa akiwa na Bikra?"
Huwa nikiona mwanamke ana mambo mengi mara kapaka maurembo urembo mengiUnasema hunaga time na simu yake, ila yeye anachukua ya kwako..!!!
When you see a horse 🐎 coming with nobody on it, Don't rejoice you have gotten a gift. First confirm what happened to the rider..🏇
Uaminifu haupimwi kwa imani tu, lazima uhakikishe na uthibitishe.
A woman who spends more money on hair salon and cosmetic to look pretty but spends nothing on books to enlighten her mind 🧠, Is a low value woman wearing an expensive camouflage to decorate an empty coconut 🥥 HEAD.Huwa nikiona mwanamke ana mambo mengi mara kapaka maurembo urembo mengi
Macho anaweka kama vile ni mlemavu wa macho na mikono kaweka dizaini anayoijua yeye, mdomo karefusha kakomaa kuutoa upumbavu aliojaza kichwani akidhani ndio usasa na kujitambua huwa najitahidi kumuomba Lucifer aniweke mbali na viumbe wa aina hiyo..
Bikra hipi?? Maana siku hizi wanatoa zoteBasi acheni kuweka bikra kigezo kwa maan iyo
Mwanaume akipata mtoto nje, anamtabulisha kwa mkewe kisha anamhudumia kwa pesa zake.Kaka wewe hujawai cheat?
Nyie ndiyo mnajikuta kati ya watoto 5, wako mmoja tu. Unashangaa mbona watoto wanatabia za ajabu ajabu.Act like a Gentleman kausha mzee maisha yaendelee
Mzee usichukue huu ushauri, ni wa kikeAct like a Gentleman kausha mzee maisha yaendelee
Unapigwa chini, anaolewa mwingine.Vipi kuhusu wewe kufungua zipu yako ovyo? Ukileta magonjwa hapa ngoma droo unafungua zipu uko kwingine na mimi navua uku tena na rafiki yako
Huu ni ushauri mbovu kabisa, yaani aendelee kuishi na malaya kwa hofu ya eti akipata mwingine atampiga matukio zaidi! Kwa hiyo bora apate ukimwi tu? Kweli wanaume tumebaki wachache sanaaabaki na huyohuyo, ukimwacha ukaoa mwingine unaweza pigwa events za kukufanya uwe chizi, bse huna uwezo wakumjua next lady ata-behave vipi
Waambie wazoee kuchapiwa Kama wewe unavyochukulia poa demu wako kushenyentwa, Haya Mambo yapo.Mnavyo angaikia bikra iyo mama zenu wali funga ndoa na bikra zao?
Je Hilo Swali Lako Na Wewe Umejiuliza?Wewe unachokita unakujua? Hujawahi cheat ? Embu fikirisha akili yako!
Nilichokuelewa Ni Kwamba Aoe Mwanamke Atakae Tafunwa Na Mabosi Wake Au Na Staff Wenzake Kwenye Semina Ila Sio Hawa Wanaogafunwa Na Boda Boda Si Ndio Baba?Uwaminifu ndo nini???
Oa mwanamke walau hako na degree moja ya 1.5 GPA