Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Mbona tushatoa sana humu mkuu?
Mimi nimeishi hivyo for past ten years!!
Na sasa niko na wa pili mfumo ni ule ule tu..
Mpaka pale watakapououtclass ndipo nitabadilisha..
Hayo maisha ni matamu sana ukiwa bado kijana na afya yako, subiri uzeeke na maradhi yakuambate ndo utaona umuhimu wa kuwa wawili.
 
Duuuh hatari!
 
Kabisa yaani ni ngumu unahamia chaka jipy na shetani alivo na nguvu hutaacha had ukamatwe πŸ˜‚
 
Mbona wewoooo
 
Kaka wewe hujawai cheat?
Kucheat kunavumilika, ila kukamatwa ukicheat tena umeacha na sms za chatting ili siku moja uone haivumiliki. Hapa huyo mama kamfanyia dharau ya kiwango cha juu sn a.k.a umalaya.
 
Baadae utaskia wakisema "wanaume wote ni mbwa". Kweli aliebeba ndogo ya maji ndiye anaejua thamani ya kila kila tone linalodondoka.

Ktk ndoa hakuna mambo yanayoumiza na kusambaratisha ndoa km "kucheat na kunyimwa unyumba". Mengine yote yanayotokea ktk ndoa yanazungumzika na kusameheka haraka, lakini haya mawili hata mkisameheana aliekosewa huwa ngumu kusahau.

Ushauri wangu.
Mwambie ujinga anaofanya na umpe onyo kali. Usimpige, labda km atakujibu jeuri na dharau. Msamehe, ila akili mkichwa. Huyo ipo siku hata papuchi ataanza kukunyima ikiambatana na dharau.

Kaa nae kwa akili, dalili ya mvua ni mawingu.
 
Kuna panga karibu hapo au nondo?
Kama zipo hizo siraha zitoe Kwa Muda.
 
Hayo maisha ni matamu sana ukiwa bado kijana na afya yako, subiri uzeeke na maradhi yakuambate ndo utaona umuhimu wa kuwa wawili.
Aliekwambia kila mzee hana afya ni nani??
Unaassume vitu ambavyo havipo wewe dogo akili zako zikoje sijui..
Kwahiyo wewe unaamini uzeeni mimi nitakuwa mgonjwa?
KUfunga ndoa ndiko kunazuia wewe usiugue uzeeni??
Tunajitahidi kuwakomboa kifikra lakini yanatokea masenge kama hili yanaleta visingizio peti peti eti uzeeni..

Wee tafuta mali uzeeke vizuri ule vizuri ulale pazuri unaongelea kufunga ndoa uende nayo uzeeni ikakunyongee huko?
 
Mchawi wa mwanaume ni mwanaume mwenzakee..why utongoze mke wa mtuu?.na unajua kbsa kaolewaa?..mabadiliko yanaanza na nyie wanaume...Acheni kudeal na married woman...
Kwahiyo mwanamke aliyeolewa akitongozwa awe anakubali kisa katongozwa?
 
Kwa hiyo wewe ndo waleee...mkono au teke likitishiwa yowe mpaka nyumba ya kumi 🀣🀣
Kwanza huwez nipiga nina kasura ka unyonge Yani ukinipiga kilamtu anajua umeniona hata kma nilichokoza πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Soma comment vizuri, don't overlook!
 
Shangazi siku hizi umechachukaa ujuee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Mchawi wa mwanaume ni mwanaume mwenzakee..why utongoze mke wa mtuu?.na unajua kbsa kaolewaa?..mabadiliko yanaanza na nyie wanaume...Acheni kudeal na married woman...
Afadhali uwambie maana lawama anatupiwa mwanamke tu utazani ndiye kajitongoza
 
I don't see any red zone, a true call of woman is not in phone but in kitchen, if she save u well ,let than pass through
 
Siku hizi shida pia ni Me kupenda mtelezo, anasubiri demu wake aolewe ili apite na kamseleleko kula pisi asiyoihudumia kwa chochote.

Kukaa kimya sio tiba mjomba, kama ushahidi unao ni kheri ukatemana nae kuliko kuvumilia usaliti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…