Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Mbona tushatoa sana humu mkuu?
Mimi nimeishi hivyo for past ten years!!
Na sasa niko na wa pili mfumo ni ule ule tu..
Mpaka pale watakapououtclass ndipo nitabadilisha..
Hayo maisha ni matamu sana ukiwa bado kijana na afya yako, subiri uzeeke na maradhi yakuambate ndo utaona umuhimu wa kuwa wawili.
 
😄😄Alafu nilikuwa naongea na mtu kuhusu hiki kitu ni umri hajanizid sana but aliolewa mapema pia akasema alichoona wakat wa uchumba sio ambacho kipo sasahiv hata romance hajui Ilikuwa lini na mume alivokuwzamni anampa mahaba now hamna kitu akasema nae anaamin mumew kunamtu anaempenda na annamfanyia yote huko nje na yeye pia kunamtu anamfeel kuliko anaeish nae na annamfanyia mambo mazuri na ni kweli wanawake wanachepuka Kwa Siri

So inahitaji Mungu aingilie kati ndoa miak hii ni full kuviziana watu wanaficha tu ila vinapigwa sana huko nje wote sawa tu
Duuuh hatari!
 
Ndo ujue sasa mahusiano yalivyo ukianza kuingiza file jipya nguvu kubwa sana inahamia huko na unafanya mambo ambayo ulikuwa unamfanyia mwenza wako halali but huku unaona anastahili zaidi.

Feeling na matendo mazuri yanahamia upande wa pili mwishowe unajisahau ukihisi hafuatilii kumbe anafuatilia kimya kimya mwishowe mdakana vurugu zinaanzia hapo au kama kila anachukua 50 zake mchezo umeishia hapo.

Kugawa feeling ni jambo gumu sana kuna upande utalega tu na kuharibu kila mlichokijenga miaka mingi, bahati mbaya na huo upande wa pili huwa unabadlika pia so its like "stupid avoidable ciycle" kila anauwezo kuamua na kubaki na mwenza wake.
Kabisa yaani ni ngumu unahamia chaka jipy na shetani alivo na nguvu hutaacha had ukamatwe 😂
 
Oya Mike ,nataka nije unipe kozi ya mapishi kwa mwezi mmoja ili nijue rasmi sitaoa .
Maana Jana niliyedhani nitamuoa nimemfumania anamsimulia mwenzie eti kumbe F ana meno ya bandia hana jino hata moja na mwisho anamalizia eti siwezi kuolewa na kibogoyo Mimi 😭

Badala angekuja aniulize kwanini Sina meno kaenda kunitangaza hata kwa wasiohusika ati Mimi ni kibogoyo rasmi sitaki tena ndoa Mike 😭
Mbona wewoooo
 
Kaka wewe hujawai cheat?
Kucheat kunavumilika, ila kukamatwa ukicheat tena umeacha na sms za chatting ili siku moja uone haivumiliki. Hapa huyo mama kamfanyia dharau ya kiwango cha juu sn a.k.a umalaya.
 
Baadae utaskia wakisema "wanaume wote ni mbwa". Kweli aliebeba ndogo ya maji ndiye anaejua thamani ya kila kila tone linalodondoka.

Ktk ndoa hakuna mambo yanayoumiza na kusambaratisha ndoa km "kucheat na kunyimwa unyumba". Mengine yote yanayotokea ktk ndoa yanazungumzika na kusameheka haraka, lakini haya mawili hata mkisameheana aliekosewa huwa ngumu kusahau.

Ushauri wangu.
Mwambie ujinga anaofanya na umpe onyo kali. Usimpige, labda km atakujibu jeuri na dharau. Msamehe, ila akili mkichwa. Huyo ipo siku hata papuchi ataanza kukunyima ikiambatana na dharau.

Kaa nae kwa akili, dalili ya mvua ni mawingu.
 
Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua. Na hiki ndicho nilichokikuta.

Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.

Naomba mnipe busara zenu ebu.

View attachment 3226517View attachment 3226518View attachment 3226519

Kuna panga karibu hapo au nondo?
Kama zipo hizo siraha zitoe Kwa Muda.
 
Hayo maisha ni matamu sana ukiwa bado kijana na afya yako, subiri uzeeke na maradhi yakuambate ndo utaona umuhimu wa kuwa wawili.
Aliekwambia kila mzee hana afya ni nani??
Unaassume vitu ambavyo havipo wewe dogo akili zako zikoje sijui..
Kwahiyo wewe unaamini uzeeni mimi nitakuwa mgonjwa?
KUfunga ndoa ndiko kunazuia wewe usiugue uzeeni??
Tunajitahidi kuwakomboa kifikra lakini yanatokea masenge kama hili yanaleta visingizio peti peti eti uzeeni..

Wee tafuta mali uzeeke vizuri ule vizuri ulale pazuri unaongelea kufunga ndoa uende nayo uzeeni ikakunyongee huko?
 
Mchawi wa mwanaume ni mwanaume mwenzakee..why utongoze mke wa mtuu?.na unajua kbsa kaolewaa?..mabadiliko yanaanza na nyie wanaume...Acheni kudeal na married woman...
Kwahiyo mwanamke aliyeolewa akitongozwa awe anakubali kisa katongozwa?
 
Kwa hiyo wewe ndo waleee...mkono au teke likitishiwa yowe mpaka nyumba ya kumi 🤣🤣
Kwanza huwez nipiga nina kasura ka unyonge Yani ukinipiga kilamtu anajua umeniona hata kma nilichokoza 😂😂
 
Aliekwambia kila mzee hana afya ni nani??
Unaassume vitu ambavyo havipo wewe dogo akili zako zikoje sijui..
Kwahiyo wewe unaamini uzeeni mimi nitakuwa mgonjwa?
KUfunga ndoa ndiko kunazuia wewe usiugue uzeeni??
Tunajitahidi kuwakomboa kifikra lakini yanatokea masenge kama hili yanaleta visingizio peti peti eti uzeeni..

Wee tafuta mali uzeeke vizuri ule vizuri ulale pazuri unaongelea kufunga ndoa uende nayo uzeeni ikakunyongee huko?
Soma comment vizuri, don't overlook!
 
[emoji1][emoji1]Alafu nilikuwa naongea na mtu kuhusu hiki kitu ni umri hajanizid sana but aliolewa mapema pia akasema alichoona wakat wa uchumba sio ambacho kipo sasahiv hata romance hajui Ilikuwa lini na mume alivokuwzamni anampa mahaba now hamna kitu akasema nae anaamin mumew kunamtu anaempenda na annamfanyia yote huko nje na yeye pia kunamtu anamfeel kuliko anaeish nae na annamfanyia mambo mazuri na ni kweli wanawake wanachepuka Kwa Siri

So inahitaji Mungu aingilie kati ndoa miak hii ni full kuviziana watu wanaficha tu ila vinapigwa sana huko nje wote sawa tu
Shangazi siku hizi umechachukaa ujuee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Mchawi wa mwanaume ni mwanaume mwenzakee..why utongoze mke wa mtuu?.na unajua kbsa kaolewaa?..mabadiliko yanaanza na nyie wanaume...Acheni kudeal na married woman...
Afadhali uwambie maana lawama anatupiwa mwanamke tu utazani ndiye kajitongoza
 
Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua. Na hiki ndicho nilichokikuta.

Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.

Naomba mnipe busara zenu ebu.

View attachment 3226517View attachment 3226518View attachment 3226519

I don't see any red zone, a true call of woman is not in phone but in kitchen, if she save u well ,let than pass through
 
Siku hizi shida pia ni Me kupenda mtelezo, anasubiri demu wake aolewe ili apite na kamseleleko kula pisi asiyoihudumia kwa chochote.

Kukaa kimya sio tiba mjomba, kama ushahidi unao ni kheri ukatemana nae kuliko kuvumilia usaliti.
 
Back
Top Bottom