Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Cheating ya mwanaume ni Cheating lakini Cheating ya mwanamke ni Teaching!!

By using your uselessness watermelon disturbing your loyal neck, can you see the difference between???
Ukiona mwanamke mwenye akili timamu katoka nje ya ndoa ujue huko ndani ni Gaza ndogo, kuna mmojà mwanaume mwaka wa 4 analala mzungu wa 4, mke kaongea kachoka kaamua akae kimya atafute yakutafuta huko, sasa siku ndoa ikivunjika lawama zote atapewa mke, sasa mwanaume atambue mke anacheat hapo atamlaumu kweli?
 
Wanawake Mkuu waone hivi hivi na hasa ukiwa unajufanya unampenda mara nyingi lazima kuchapiwa kutske place.
Nimeamin una simu yake maana muda hii ndo hywa upekyz unafanyika mkusha randikana bao moja analegea anakoromea pemben huko unavuta sim yake kuangalia wanaokusaidia kumlegeza
 
Unajua kwa nn aluanza kulala mzungu wa 4
 
Yaani sijui kwa nini sasa hivi umalaya umekuwa fashen mpya kwenye ndoa.

Na usishangae huyo mke wako kabla ya kuolewa na ww alizunguka kwa kila aina ya waganga akitafuta ndoa.

Kiufupi maamuzi yako kwenye mikono yako mkuu ,lakini kama ningekuwa mimi ningetulia mpaka asubuhi kukakucha ,alafu namuonesha hiyo meseji alafu namuambia kuwa nikirudi jioni nisikukute ndani kwangu.

Ila mkuu usifanye maamuzi yeyote yatakayo kuathiri ww bali unatakiwa kufanya maamuzi yakatayo ufanya huyo mkeo ajutie alicho kifanya.
 

Kwa hili Andiko Leo I conclude kwamba usipooa Bikira lazima uchapiww, Kaka una watoto wangapi na ndoa ya miaka mingapi! Huna haja wala ya kumpiga au kumuuliza kwa sasa, badilika kabisa yeye aanza kuuliza then ndo umwambie!
 
Piga chini
 
Kama ujumbe huu umeandika kwa akili zako, basi wewe kichwa chako kitakuwa kimeshikiliwa na Mwanamke kwa kujiamini ushababi ndio silaha ya mwanamke kutokuchepuka.
Wewe ni 000 kabisa.
 
Mkifanya nyie sawa, akifanya mwanamke ni Mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…