Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu


Duh aise pole sana. This is the most painful moments in life. Kusalitiwa na mke au mume ni jambo linalouma sana kuliko hata kufiwa. Kwa yeyote ambaye amepitia hii hali ni shahidi kwa ninayoyasema. Nakupa tu pole sana
 
Ukitaka upate uhakika zaidi fanya kuhack simu yake kabisa yani upate mawasiliano yao yote, iwe ni simu au text zote uzipate. Hata ikibidi nunua simu mpya mpe kama zawadi lakini uwe ushaiset kumnasa kila kitu. Pata ushahidi kamili na ukiweza fanya fumanizi yani wakipanga kukutana hotel na wewe unaenda kufumania kisha unampiga chini kimoja

Mtu msaliti atarudia tu. Ila uwe makini na uwe na kifua cha kuvumilia usionyeshe kupanic wakati unafanya uchunguzi wa kina..
 
Hata ukimpeleka kaburini machungu ya kugongewa yataendelea kukutesa milele na milele amina
Kama unampeleka kaburini lakini bado machungu ya kugongewa hayaishi,itakuwaje ukimsamehe na kuendelea kuishi naye moyo si utapasuka kabisa?
 
Umevunjiwa barafu bado kuchimbwa mgodi mwambie Marekani wamesitisha misaada ya......... Tukiugua tutapata shida sana, kwakuwa hakutakuwa na dawa za kufubaza
 
Kwani zamani kulikuwa na cm?
 
Usimfanye chochote kwa sababu unaweza kuishia jela, mwambie tu meseji yako nimeiona, wala usibishane naye sana. ''inaonekana walishakulana''

Kiufupi, tafuta mchepuko nje mpe ujauzito maisha yasogee.​
 
"nimekukazia" maana yake ni alikuwa mgumu kwa huyo ex hakumpa papu..

Kama ukitokea kuwa bomu mbeleni let's tuyaone.. 😂

Lete zingine tukufafanulie..

Ukome kuchungulia kutafuta matatizo.. Mkeo anaonekana alijitambua
😄😄
 
Pakada nishakuambia tangu zamani kama hupigwi mashine vizuri ni wewe sio wanawake wote..
So wewe unaamini mke wa huyu mtoa post ana akili sana ila mwamba ndie hampigi mashine si ndio?

Tangu kule nilikuambia inaonekana hupigwi mti ukasikia ndio maana unakuwa hivi..
Feministi yeyote ukimpiga pipe vizuri huwa anajisahau kwa muda kwanza anakuwa wife material na hata anaanza kuwapinga mafeministi wenzake..
 
Amani na huku y
Amani na afya huku ulishatombewa we bwege kweli aisee,na Kwa taarifa yako bado wanakulana
 
We bado unawaamini wanawake mzee
Ao kama kile chama tu
mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…