Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Beauty has sent a lot of girls to marriage but character is busy returning them to their father's house.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akimsamehe huyo mwanamke jamaa atajuta.Piga chini huyo mambo ni mengi muda mchache, msaliti hana second chance.
Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua. Na hiki ndicho nilichokikuta.
Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.
Naomba mnipe busara zenu ebu.
View attachment 3226517View attachment 3226518View attachment 3226519
Kama unampeleka kaburini lakini bado machungu ya kugongewa hayaishi,itakuwaje ukimsamehe na kuendelea kuishi naye moyo si utapasuka kabisa?Hata ukimpeleka kaburini machungu ya kugongewa yataendelea kukutesa milele na milele amina
Umevunjiwa barafu bado kuchimbwa mgodi mwambie Marekani wamesitisha misaada ya......... Tukiugua tutapata shida sana, kwakuwa hakutakuwa na dawa za kufubazaHivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua. Na hiki ndicho nilichokikuta.
Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.
Naomba mnipe busara zenu ebu.
View attachment 3226517View attachment 3226518View attachment 3226519
Kwani zamani kulikuwa na cm?Hivi ndoa za zamani hazikua na haya mambo? Au kwa sababu teknolojia imekua na tumekua na access kubwa ya information sasa tunayaona? Au wazee waliotangulia nao waliyaona ila walikua wanakaza moyo tu? Why now? Kila siku kuna habari ya kuumizwa tu na wamama!
Usimfanye chochote kwa sababu unaweza kuishia jela, mwambie tu meseji yako nimeiona, wala usibishane naye sana. ''inaonekana walishakulana''
Kiufupi, tafuta mchepuko nje mpe ujauzito maisha yasogee.
😁😁Kamata vua kyupi,tomber sana kisha mtimue aende kwa huyo fala wake.
😄😄"nimekukazia" maana yake ni alikuwa mgumu kwa huyo ex hakumpa papu..
Kama ukitokea kuwa bomu mbeleni let's tuyaone.. 😂
Lete zingine tukufafanulie..
Ukome kuchungulia kutafuta matatizo.. Mkeo anaonekana alijitambua
Huyo ni naked unategemea nini mkuu😁😁Wewe ukifika dukani utakuwa na Imani na soda uliyokuta mtu kanywa kabakisha au utachukua soda mpya....??
Pakada nishakuambia tangu zamani kama hupigwi mashine vizuri ni wewe sio wanawake wote..Ukiona mwanamke mwenye akili timamu katoka nje ya ndoa ujue huko ndani ni Gaza ndogo, kuna mmojà mwanaume mwaka wa 4 analala mzungu wa 4, mke kaongea kachoka kaamua akae kimya atafute yakutafuta huko, sasa siku ndoa ikivunjika lawama zote atapewa mke, sasa mwanaume atambue mke anacheat hapo atamlaumu kweli?
Usisahau kumkumbusha ARV zinaweza kupatikana kwa kutafuta na tochi.Usimfanye chochote kwa sababu unaweza kuishia jela, mwambie tu meseji yako nimeiona, wala usibishane naye sana. ''inaonekana walishakulana''
Kiufupi, tafuta mchepuko nje mpe ujauzito maisha yasogee.
Amani na huku yNimepita unapopita; sio pepesi Kama unavyowaza, unaitaji utulivu sana, Tafuta wale wazee ambao Bado wanaishi na wake wa ujana wao na hawakuwahi kutalikiana wakushauri!
Kama yatakuwa magumu njoo PM kuna mbinu nyingi za kijeshi tulitumia na saaa tuna amani na afya, ukicheza kwenye mazingira haya, tunakuzika chap kwa haraka!
Amani na afya huku ulishatombewa we bwege kweli aisee,na Kwa taarifa yako bado wanakulanaNimepita unapopita; sio pepesi Kama unavyowaza, unaitaji utulivu sana, Tafuta wale wazee ambao Bado wanaishi na wake wa ujana wao na hawakuwahi kutalikiana wakushauri!
Kama yatakuwa magumu njoo PM kuna mbinu nyingi za kijeshi tulitumia na saaa tuna amani na afya, ukicheza kwenye mazingira haya, tunakuzika chap kwa haraka!
Hapana,mi ninachojua kati ya aliowaliza wakati anachagua mke bas huyo aliyempata ndiyo chaguo lake sahihiSitisha mahusiano ishi kabla hujaoa vile ulivyoishi!
Hawa vichaa ukikaa nao hata miaka mitano wanahisi bila wao usingeishi kumbe mmeonana ukubwani!!