Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Kwa nilivyoelewa hio sms ni kwamba mke alimtolea nje EX wake kipindi ndoa yenu ikiwa changa, ila kwa sasa sijajua kama ndio ameanza kumpa mbunye au la. Mwendelezo wa chat ndio utaonesha kwamba kashaliwa au bado. Ungetuma zote ili tukupe tafsiri halisi.
Hawa iwe mvua au kipupwe lazima waarudiana mbona hili liko wazi jamani!
 
Kila siku tunawaambia vijana oeni wanawake bikira lakini hamuelewi. Mwanamke ambae umemkuta tayari kumer ishatembea mileage nyingi hauwezi kutengeneza nae bond kwa sababu kichwani mwake bado ana kumbukumbu ya mambo yote aliyofanya na maex wake. Chochote utakachomfanyia lazima atafute sababu ya kutoridhika.
 
Jambo dogo ilo usichukulie kwa ukubwa uho
Mdogo angu hujawai kuwa kwenye ndoa hata kwa miezi sita mfululizo ☺️ alafu unashaur unasema Jambo dogo ??

Mambo ya uaminifu na ndoa ni MAGUMU
Binafsi sina tabia ya kushika simu ya mke wangu.. perhaps labda nikija ku suspect ama kuona Kuna viashiria vya uvunjifu wa amani ya moyo..
 
Usishike
 
Usimfanye chochote kwa sababu unaweza kuishia jela, mwambie tu meseji yako nimeiona, wala usibishane naye sana. ''inaonekana walishakulana''

Kiufupi, tafuta mchepuko nje mpe ujauzito maisha yasogee.​
Kwenye kuzalisha nje sio sawa maana WATOTO watakukosa na watakosa upendo na ukichukua MWANAMKE DEPENDENT utageuzwa SACCOS.

Huwezi KUISHI double life ni ngumu ni kama kuyatafuta matatizo kwa NGUVU 😊😊☺️

Nakusalimia TU mkuu.
 
Yule ni mwaminifu na mlokole mamboleo 😊 ambae anajitambua na hajapitia mambo mengi ya ujana pia Mimi ndie dream man wake so tuna aniversally nyingi tu..

Simu zangu mbili za smart moja nikifika anaichukua ingia online & everything..sina michepuko so yupo free kwenye simu yangu 😊 Mimi sinaga time na simu yake
 
Kila siku tunawaambia vijana oeni wanawake bikira lakini hamuelewi. Mwanamke ambae umemkuta tayari kumer ishatembea mileage nyingi hauwezi kutengeneza nae bond kwa sababu kichwani mwake bado ana kumbukumbu ya mambo yote aliyofanya na maex wake. Chochote utakachomfanyia lazima atafute sababu ya kutoridhika.
Hapa tulipofikia khamusi iedit maana ya Ndoa iilete kwenye Uhalifu.
 
Jambo dogo ilo usichukulie kwa ukubwa uho
Oya Mike ,nataka nije unipe kozi ya mapishi kwa mwezi mmoja ili nijue rasmi sitaoa .
Maana Jana niliyedhani nitamuoa nimemfumania anamsimulia mwenzie eti kumbe F ana meno ya bandia hana jino hata moja na mwisho anamalizia eti siwezi kuolewa na kibogoyo Mimi 😭

Badala angekuja aniulize kwanini Sina meno kaenda kunitangaza hata kwa wasiohusika ati Mimi ni kibogoyo rasmi sitaki tena ndoa Mike 😭
 
Pole sana 😂 kibogoyo wanakuita ivyo ukiwa haupo
 
Back
Top Bottom