Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

Kazi ya kigogo ni kufichua maovu na sio kufichua Siri.Maovu yasipokuwepo na kigogo hana dili tena.
 
Nimeona sehemu nyingi baadhi ya watu wakijadili kuhusu ''bwana yule'' huku wengine wakimbeza lakini wengine wakiuliza kimetokea nini kwa sasa ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu...
Remember Mwanakijiji na kainzi!~!!!!
 
mama anatype mwwnyewe taarifa zake hampi secretary.inakuwa ngumu kuvuja.na akitangaza ni hapo kwa papo zege hailali
 
Reactions: SMU
Mkuu, yaani wewe huwa nakuelewaga Sana, najua kuwa wewe ni mpinzani na moyo wako unapenda mageuzi, cha ajabu ni Kwamba, unapenda zaidi kujadili hoja na sio ushabiki,

Sjui unakunywaga Ka soda kweli???

Embu agiza hapo then nitalipia
 
Hivi "muhishimiwa" Balozi Dr Bashiru ameanza kuchangia hoja kule bungeni? Sijamsikia.
 
kwahio kumbe ni internal job??
 
Sio kwamba utawala wa Samia umefanikiwa kuzuia siri za serikali zisimfikie Kigogo, issue ni kwamba wale waliokuwa wanavujisha hizo siri awamu iliyopita ndio marafiki wa Samia...
Kwa namna moja ama nyingine, lengo la kigogo Kwa mtizamo wake na wa Baadhi ya wengine, pengine ulikuwa ni zuri Sana,

Lakini lilikosa uzuri pale alipoonyesha kufurahi kwake na kuwa wa Kwanza kufahamu kuwa JPM hawezi kupona, hapo kulimuweka kwenye maswali mengi mno yasiyojibika vichwani mwa watu,

Angelikuwa super Man na mtu wa maana kama asingejiingiza kwenye kuugua na hata kufikia umauti wa aliyekuwa Raisi, na Kwa sababu hiyo, imekuwa ni vigumu Sana kuamini tu kuwa mwenda zake alifariki tu kawaida
 
Kwa namna moja ama nyingine, lengo la kigogo Kwa mtizamo wake na wa Baadhi ya wengine, pengine ulikuwa ni zuri Sana...
Labda yeye alikuwa muwazi tu katika kuonesha furaha yake. Lakini kwa yaliyotokea na yanayoendelea sasa, ni wazi kabisa watanzania wengi zaidi walifurahi (ukiacha mtoa mada hii, "mimi", mataga, na sukuma gang) na wengine labda walifurahi zaidi ya hata huyo 'chigogo'.
 
Imeunga unga andiko lako,it is simple logic utawala wowote ukibadilika the whole system inabadilika.haiwezekani tena kupata taarifa nyeti kwa muda huo mfupi.

Halafu jambo lingine Magufuli kwa muda aliokaa Ikulu tayari alikuwa na maadui ndani ya Serikali,Nje na ndani ya chama.Sasa Samia ndio kwanza ana miezi 3 hao maadaui amisha watengenezaje??
 
Mkuu MsemajiUkweli, umefanya analysis moja matata sana, kuna wakati na mimi nilikuwa najiuliza hivi, "Bwana yule" na haya mapenzi na CHADEMA yameanza anzaje? Kuna nini ameshaona amekikosa?

Muda utatufahamisha vizuri.
 
Kigogo alikuwa anakosoa au alikuwa anachafua? kwa sababu hakuna utawala ambao upo perfect ndio maana hata marais wote waliyopita kabla ya Magufuli walikuwa wanafanya makosa na walikuwepo wa kuwakosoa, kwahiyo kama kutoa siri za serikali kama alivyokuwa anafanya Kigogo ndio kukosoa basi tutegemee siri za serikali kuendelea kutoka maana hata sasa makosa yapo.
 
Sina. Ila ni muumini wa utu na ubinadamu.
Ok nilidhani una udugu nawe, unajua kwenye uhalisia wa maisha sio kila kitu kitamgusa kila mtu pamoja huo utu na ubinadamu.
 
Ok nilidhani una udugu nawe, unajua kwenye uhalisia wa maisha sio kila kitu kitamgusa kila mtu pamoja huo utu na ubinadamu.
Nalijua hilo. Lakini watu wasio na utu ni wa kuwaweka mbali sana.

Mtu bila utu, hakuna tofauti na chatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…