Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

Mkuu, yaani wewe huwa nakuelewaga Sana, najua kuwa wewe ni mpinzani na moyo wako unapenda mageuzi, cha ajabu ni Kwamba, unapenda zaidi kujadili hoja na sio ushabiki,

Sjui unakunywaga Ka soda kweli???

Embu agiza hapo then nitalipia
Noted.
 
Kwa sababu State criminal syndicate imekamilisha mission yake.

Kwanini kanisa katoliki halitoi ten takwimu za vifo vya masisita n mapadre wanaokufa kwa korona?
Kwann Lutheran hawatoni tena takwkmu za wachungaji kufa kwa korona?

The mission is Over, Covid-19 was just only the scapegoat to kill magufuli.

Mguguli threatned interests of big fishies in the Ocean, so Church leaders were just used by magufuli's foes to spread propaganda to tha Tzanians so as to hve psycjological justifiction to kill him.

Ndio maana baada ya kifo chake COVID-19 is no longer again a storyday of this country, bussiness as ussual.


Western media outlets like BBC,VOA DW are silence no one is reporting about covid-19 skeptical policies....


Magufuli was killed by non-state actors
 
Amehitimisha kazi, dhalimu amelala
Sasa Yuko kwenye harakati za kudai Katiba mpya
 

Sasa hivi mambo hadharani. Wasiojulikana imekula kwao, kina ole na mambo yao ya mbususu wako takukuru, wabambika kesi kimedoda nk nk.

Siri zipi tena? Za dangote kuuza cement kenya?
 
Jamaa anaema alikuwa anatumiwa na ametoswa na walio na madaraka wa sasa na ni kweli hatoi siri tena ila anawashambulia
 
MHeshimiwa hakuna mahalo Kigogo akitoa Siri za serikali,nakataa.
Hivi mfano,Kusema karatasi za kura za ziada zimechapishwa jamana printers Hiyo Ni Siri ya serikali?
 
Story bado ni ya kudhani.

Sasa pale ikulu kuna siri gani ili ivujishwe? Kumbuka bwana Yule alisema vita yake itaisha Siku adui yake akifa. Hivo hana vita tena na ikulu
Anamshambulia Samia sasa hivi mkuu
 
Magufuli hajauwawa isee,kwa mujibu wa Samia.
Lakini kama kauwawa,basi mfumo wetu wa usalama uko vizuri sana.uliona mbali.
 
pia ukumbuke kuwa siyo kila kazi ni ya Mungu kazi zingine ni za binadamu wenyewe kutokana na matendo ya maovu ya siyo mpendeza Mungu.
 
Story bado ni ya kudhani.

Sasa pale ikulu kuna siri gani ili ivujishwe? Kumbuka bwana Yule alisema vita yake itaisha Siku adui yake akifa. Hivo hana vita tena na ikulu

Mtu akijua kama hajui inakuwa ni kazi rahisi kuelimishwa!

Sidhani kama unajua kuwa hujui!
 
J.M hataki kutoa siri za rafiki yake, ila nae ameshahribiwa sana na "bwana yule" hasa wakati ule akipigiwa chapuo ya kuwa VP, alivyoukosa bwana yule akawa mkali mpaka nikashangaa

Mkuu;
Andiko lako linaonyesha kwa mbali umeielewa mada tangu!
 
Kageukia kwenye umbea wa wasanii na mpira mitandaoni,ana kimkwara chake anakwambia faili lake analileta kumbe mweupeeee

Kuendelea kuongelewa na kuwa “relevancy” inabidi atafute “attention”!
 

Nashukuru kwa kunisaidia katika kutoa elimu sahihi kwa watu wa aina hii ambao wanashambulia waleta mada badala ya mada.
 
Huyo kigogo alikuwa against na utawala wa hayati JPM, hahitaji siri tena za utawala wa sasa sababu ni utawala ulionyooka ,unaheshimu demokrasia,sekta binafsi inapewa kipaumbele,na unafuata haki na sheria n.k

Nadhani bado uko gizani kifikra!
 
Argument lacks merit.
It's clear you do not have a scientific mind.
Nyie ndo mkiambiwa korona imo kwenye mnyanya, mtang'oa mashamba ya nyanya.

Hilo liko wazi kwa analogy yako mtoa post hii kulinganisha matamshi ya Makanisa juu ya walioathirika na Covid, ameonyesha wazi lack of basic knowledge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…