Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma kupunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%

"Kuna watu walkuw wanaishi vizuri kuliko malaika,tutahakikisha tunawapunguzia mishahara ili waishi kama mashetani'
 
ni muda kujifunga shingo.


tutakakae kwa baba mbinguni.
 
Kuna tetesi zimeenea kuwa baadi ya watumishi wa umma watapunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%. Aliye na taarifa za kweli atujuze wadau
Ni kweli. Wale waliokuwa wanapata mishahara ya millioni 50 hadi 100m kwa mwezi watapunguziwa hadi isizidi 15m kwa mwezi. Hapo utaona kuwa kuna baadhi ya watumishi wa umma mishahara yao itapungua kwa 80% na siyo hiyo 30% uliyoandika.

Uzuri ni kuwa wengine wengi wataongezewa kamshahara hadi kwa 30% au zaidi. Kwa mfano wale wa mshahara wa 120,000/ per month wataongezwa kwa 80% na wale waalimu wa primary na secondary school watalamba nyongeza ya 30% na wale waalimu wa vyuo vikuu watalamba kanyongeza ka 5%.

Au wewe mkuu ulitaka vipi?
 
lete jina la hiyo bank! kama jamaa hutaki kumtaja jina!
 
Hataki , kwani lazima.

Manyumbu siku hizi hamna kelele za ufisadi toka Lowassa alipomnunuwa Mwenyekiti.
Ha ha sasa kama hataki alivokuwa anasema kwamba atawatangazia watu akili zilikuwa sawa kichwani ?
 
umenena vyema mkuu,ila inawezekana! hasa akiamua yule anayekulipa.
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 

Usibishe tu mkuu. Kwa awamu hii chochote kinawezekana. Kwani mangapi yanafanyika ambayo hayamo kwenye hizo sheria au kanuni ulizozitaja? Tuombe Mungu tu yasitokee ndugu yangu.
 
Kinawezekana. Marejesho hayo ya mkopo yatapunguzwa na utaendelewa kukatwa kwa miaka 7-8, badala ya 5-6 ya awali.
 
Kuna tetesi zimeenea kuwa baadi ya watumishi wa umma watapunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%. Aliye na taarifa za kweli atujuze wadau
MTUMISHI WA UMMA NO.1 ALIAHIDI ATAPUNGUZA MSHAHARA WAKE UBAKI 15M. YAWEZEKANA AMESHATEKELEZA MAANA YEYE HUWA ANAONESHA MFANO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…