Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbele ya mungu mzinzaUnaelewa maana ya udikteta mkuu???[emoji17] Mbele ya tingatinga hakuna kinachoshindikana! 🙂
Ni kweli. Wale waliokuwa wanapata mishahara ya millioni 50 hadi 100m kwa mwezi watapunguziwa hadi isizidi 15m kwa mwezi. Hapo utaona kuwa kuna baadhi ya watumishi wa umma mishahara yao itapungua kwa 80% na siyo hiyo 30% uliyoandika.Kuna tetesi zimeenea kuwa baadi ya watumishi wa umma watapunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%. Aliye na taarifa za kweli atujuze wadau
pitia huu Uzi kisha unijibu. Vigogo 25 wafyekwa mishahara mil. 625/- kwa mwezi. Ni utekelezaji agizo la MagufuliMkurugenzi yupi huyo alishushwa kutoka mil 45 emu tuambie au unazungumuzia yule maama TIC
Mkuu hizo ni porojo hamna uthibitisho wwte kuwa kun watu wamefutiwa mshahara! emu naomba list ya hizo taasisi ambapo hao vigogo wamefutiwa mishahra!pitia huu Uzi kisha unijibu. Vigogo 25 wafyekwa mishahara mil. 625/- kwa mwezi. Ni utekelezaji agizo la Magufuli
lete jina la hiyo bank! kama jamaa hutaki kumtaja jina!Unazungumzia Theory wakati Practically ishaanza kufanya Kazi. Kuna DG wa Bank Moja ya Serikal namhifadh Jina alikuwa analipwa 27M lakin baada ya tangazo la salary kutozidi 15 M nae panga limempitia wakat huo tayar alikuwa na makato ya 9M per month Makato yamebaki vile vile kaishia kupata take home isiyofikia 2M. Siku hizi usiseme kitu Fulani hakiwezekan kwa ku refer Katiba au sheria Siku Hizi tunaendesha Nchi kwa Hekima , busara, utashi na Utayari na uthubutu wa JPM tu na si vinginevyo [emoji3]
sasa ndio umeandika nini mbona hakiendani na uzi!Unaleta tetesi za 30% wakati ukweli ni kuwa wapo waliotumbuliwa 100%.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ha ha sasa kama hataki alivokuwa anasema kwamba atawatangazia watu akili zilikuwa sawa kichwani ?Hataki , kwani lazima.
Manyumbu siku hizi hamna kelele za ufisadi toka Lowassa alipomnunuwa Mwenyekiti.
Ha ha sasa kama hataki alivokuwa anasema kwamba atawatangazia watu akili zilikuwa sawa kichwani ?
umenena vyema mkuu,ila inawezekana! hasa akiamua yule anayekulipa.hakuna kitu kama hicho na hakita kuja kutokea-ha,mna sheria inayoonyesha mshahara unaweza kupunguzwa na hata kikanuni za uchumi haiwezekani.
nikuulize swali dogo mfano mtu anapokea 3,000,000 kwa mwezi ameenda bank amekopa Milion 90-100 kwa muda wa miaka 5-6 wanamkata kila mwezi kuanzia milion 2ktkt mshahara wake anabakiwa na 1,000,000(take home) ukisema umuondolee 30% ya basic/gross yake maana yake huyo mwenye mshahara wa 3 ambayo (3,000,000x30%=900,000) kwenye mshahara wake aliobaki nao 1M ukitoa hiyo 900K anabakiwa na 100K ni kitu ambacho hakiwezekani!!
kitu ambacho serikali inaweza kukifanya ni kuset mishahara kwa wanao anza sio waliopo
hakuna kitu kama hicho na hakita kuja kutokea-ha,mna sheria inayoonyesha mshahara unaweza kupunguzwa na hata kikanuni za uchumi haiwezekani.
nikuulize swali dogo mfano mtu anapokea 3,000,000 kwa mwezi ameenda bank amekopa Milion 90-100 kwa muda wa miaka 5-6 wanamkata kila mwezi kuanzia milion 2ktkt mshahara wake anabakiwa na 1,000,000(take home) ukisema umuondolee 30% ya basic/gross yake maana yake huyo mwenye mshahara wa 3 ambayo (3,000,000x30%=900,000) kwenye mshahara wake aliobaki nao 1M ukitoa hiyo 900K anabakiwa na 100K ni kitu ambacho hakiwezekani!!
kitu ambacho serikali inaweza kukifanya ni kuset mishahara kwa wanao anza sio waliopo
Kinawezekana. Marejesho hayo ya mkopo yatapunguzwa na utaendelewa kukatwa kwa miaka 7-8, badala ya 5-6 ya awali.hakuna kitu kama hicho na hakita kuja kutokea-ha,mna sheria inayoonyesha mshahara unaweza kupunguzwa na hata kikanuni za uchumi haiwezekani.
nikuulize swali dogo mfano mtu anapokea 3,000,000 kwa mwezi ameenda bank amekopa Milion 90-100 kwa muda wa miaka 5-6 wanamkata kila mwezi kuanzia milion 2ktkt mshahara wake anabakiwa na 1,000,000(take home) ukisema umuondolee 30% ya basic/gross yake maana yake huyo mwenye mshahara wa 3 ambayo (3,000,000x30%=900,000) kwenye mshahara wake aliobaki nao 1M ukitoa hiyo 900K anabakiwa na 100K ni kitu ambacho hakiwezekani!!
kitu ambacho serikali inaweza kukifanya ni kuset mishahara kwa wanao anza sio waliopo
MTUMISHI WA UMMA NO.1 ALIAHIDI ATAPUNGUZA MSHAHARA WAKE UBAKI 15M. YAWEZEKANA AMESHATEKELEZA MAANA YEYE HUWA ANAONESHA MFANO.Kuna tetesi zimeenea kuwa baadi ya watumishi wa umma watapunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%. Aliye na taarifa za kweli atujuze wadau