Baba achinjwa na familia yake akidaiwa kuwa kikwazo cha kutumia mali za familia

Pole sana, nimekaa mwanza wengi walikua wakarimu ila nilikua na rafiki ambae alikua kama dada na mda mwingi nilikaa kwake naye alikua polisi, ki ukweli hakukua na wiki ambayo hawakwenda kuchukua miili iyokatwa katwa na wengine kuuwawa kabisa
 
sasa mama ananyea debe nakatoto kachanga pia kanateseka huko ndani,kwel majuto ni mjukuu
 
Asante sana, Yani Mwanza matukio ya kikatili ni mengi sana.
Kuna kijana mmja ni family friend alikua anapenda sana kwenda club usiku.
Siku moja anatoka club alivamia na kundi la watu walimpora kila kitu na kumwagia mafuta ya taa wakamtia moto alafu hao watu wakakimbia, ponapona alijigaragaza kweny mchanga.

Matukio nliyoyashuhudia na kuyasikia ni mengi sana.
 
Pole sana, nimekaa mwanza wengi walikua wakarimu ila nilikua na rafiki ambae alikua kama dada na mda mwingi nilikaa kwake naye alikua polisi, ki ukweli hakukua na wiki ambayo hawakwenda kuchukua miili iyokatwa katwa na wengine kuuwawa kabisa
Asante sana
 
Bhagooosha!!mwanamke ktk ubora wake...hapo unakuta mzee wa watu alipambana akapata vi~mali kwa jasho kumbe mke na watoto ni TABULARASA...watoto wakikua fukuza home
 
Huwa najiuliza Sana yaani Mimi baba nitafute Mali zangu na kuwalisha hao wanaoitwa watoto Hadi wanakua afu eti bado Ni Mali zao kwa kisingizio Cha familia?

Huu upumbavu nimekuwa nauona sehemu nyingi yaani ukiwa tuu na familia huna chako,Sasa Nini maana ya sijui kupambana kote huko?

Kwa mantiki hii nimeona Bora uwe na Mali za pembeni wasijue hao kima wanaoitwa wanafamilia Ni Bora zipotelee kwenye mikono ya watu kuliko kuja kuteswa na Mali za jasho lako.
 
Aisee kuwa mwanaume ni kazi kwelikweli. Unatafuta kwa jasho, watu wako wa karibu ndio wanageuka kuwa watesi wako .Mke na watoto wako!
Mimi hautokuja kutokea nikaweka Mali zangu zote wakafahamu kuanzia account zangu na Mali zingine watakazozifahamu Ni zile tuu wanazoziona.

Mali zako afu uanze Tena kuteseka?
 
Kuna uzi niliongea kichwa cha habari kwa nini mkoa wa Mwanza kuna hitman sana !. ila kama watu walipita pembeni
Uharamia wa ziwani; maisha ya kambi za uvuvi dagaa. Kuna mchanganyiko wa wahuni kutoka pembe mbalimbali za nchi/dunia na uwepo wa migodi kingi kuzunguka kanda hiyo. Uhalifu wa maeneo ya migodi sio wa kitoto. Kutoana uhai ni jambo jepesi mno (fikiria Melerani), uwepo wa watu wengi wanaotoka ile kanda maalum ya watu wasio na utani (bhita ni bhita.....), Hulka ya watu kupenda anasa kupindukia, watu kuishi maisha yasiyo na hofu ya Mungu, movie series za mauaji, uhalifu wa maadili n.k kushamiri kwa mawasiliano na urahisi wa kupata taarifa mseto za kihalifu kupitia media kunatengeneza taswira ubongoni mwa watoto wengi (wateja wengi wanatoka mitaa ya maisha duni na hawa ndio wanasambaa kuishi mitaa ya mjini kati, na hawa ndio wanaotetelesha amani ya miji kwa uhalifu. Refer panya road)
 
Wanaendelea utamaduni wetu wasukuma,dingi ukishazisaka ukazipata,Maza anakonsipaya na watoto wakuue,zamani wazee walikua wanahama wanaenda kuanzisha mji mwingine kwingine
Hata bila kukuua wanauza au wanakuzuia kuuza na huna Cha kufanya kwa sababu hata sheria zinawalinda wanafamilia yaani wakizuia hata Kama uliuza ,aliuenunua inakula kwake yaani yeye na mzee wanonekana Wana makosa.

Hizi Ni Sheria za kipumbavu.Ukiacha Hilo mitoto huwa haitaki mzee aoe Kama mama Yao kafariki kwa maelezo kwamba atakula Mali ya mama Yao.

Wakati huo huo sijui wanategemea baba Yao atawatomba wao au wao ndio watakuja kimpikia ,kufua nk akiwa kwenye utu uzima huo..

Huu.ni ushenzi kwa sababu Mali zimetangulia kuliko utu.
 
Bhagooosha!!mwanamke ktk ubora wake...hapo unakuta mzee wa watu alipambana akapata vi~mali kwa jasho kumbe mke na watoto ni TABULARASA...watoto wakikua fukuza home
Sio swala la bangosha tuu Bali jamii nyingi Zina huu upumbavu.

Usipouwawa hutoweza kufanya lolote na Mali zako kwa kisingizio Cha Mali ya familia.
 
Wazazi wapuuzi wa namna hiyo wauwawe tu ...ndiyo wanao sababisha panya road kwa kuto kuwajibikia familia zao kikamilifu
 
Watoto wakianza kujielewa tu, fukuza nyumbani wakaanze kujitegemea, ukiwachelewesha sana wanaanza kutegemea Mali zako.
Nyinyi ndiyo mnao uliwagwa na watoto wenu ...kwanini usishirikiane na watoto wako bega kwa bega kujenga uchumi wa familia ? Uwafukuze kwani walikuomba kuwazaa ....haya ni matatizo ya viongozi kuto kujua maana ya uongozi kwa unao waongoza ...kama ulikuwa utaki watoto kwanini uliwazaa
 
Mbona mie sina sifa hizi? 😀😀
 
ule msemo wa watoto ni baraka unaanza kupotea;kasheshe sasa unakuta hata mtoto mwenyewe siyo damu yako yaani
 
Wewe zuzu swali uliwazaa wanini kama ulikuwa utaki kuwajibika kikamilifu kwa familia yako .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…