Ukisikiliza vizuri video dakika ya 4 (4.00 to 4:50), Mtoto anasema Mzee wao ana maeneo mengine kwa ajili ya kuwarithisha watoto wake.Kwenye uislamu haifai kutoa mali yako yote wakfu na kuwaacha warithi wako bila kitu, na ndio maana hata wasia haupaswi kuzidi theluthi ya mali ya mtu, kama ndio mali yake ya pekee basi amekosea na huo wakfu sio sahihi.
🫱🏻🫲🏿Sahihi kabisa.
Ukitizama body language ya huyo kijana inaonekana wenzie hawajakubaliana na hilo na yeye pia kuna huzuni ameificha ila inaonekana.Ukisikiliza vizuri video dakika ya 4 (4.00 to 4:50), Mtoto anasema Mzee wao ana maeneo mengine kwa ajili ya kuwarithisha watoto wake.
Kwani mali ni ya nanije ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria
View attachment 3379922
Yes, na kuhusu kutokukubaliana, ameeleza dakika ya 3:50Ukitizama body language ya huyo kijana inaonekana wenzie hawajakubaliana na hilo na yeye pia kuna huzuni ameificha ila inaonekana.
Kwani bila hiyo 'dini' huyo mzee angetupa nyumba yake na kuwanyima wanae?Kwani Dini (Uislam) inasemaje kuhusu hilo?
Au unafikiri katika Uislam watu wanatakiwa kujifanyia tu mambo? Hujui hii Dini ina Muongozo kamili wa maisha?
Uelewe kwanza ndio u comment.
Au nawe unafuata mkumbo?
Hao watoto wazee wazima wameshindwaje kuwa na mali zaoje ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria
View attachment 3379922
Unadhani mzee angeona watoto wake ni potential angefanya kugawa bureee kwa msikiti??
Kuna watoto wajaa LAANA unakuta wamewezeshwa / wamebebwa hawabebeki yaan ni gunia la MISUMARIIIII
Huwezi fananisha familia zenye misingi nyoofuu na wenye ELIMU NZURII ,MALEZI MAZURI, EXPOSURE, WEATH NA MAADILI MEMA
Mzee kaona ni Bora atoe wakfu eneo hilo YASITOKEE YA MSONDO NGOMA
MSONDO NGOMA _TUNATOANA ROHO YARABII KWA MALI ALIZO ACHA BABA FOR SURE MZEE KESHA FANYA RESEARCH KAONA NI BORA KUTOA KWA MSIKITI KULIKO KUWA ACHIA MALI MATOTO MAJINGA MAJINGA NA MASHENZIII
Kwani Dini yake huyo mzee inasemaje kuhusu hilo? Mnajua Dini yake inasema nini kuhusu hilo? Ni Dini yake ndio inamtaka hivyo au yeye ndio kajifanyia tu?
😁😁Sasa mzee kaona isiwe taabu kapeleka urithi msikitinii kaona matoto majinga majinga na yasiyo mtii na kumsikiliza.Kama watoto hawana misingi mizuri ni kosa la nani? Wakati wengine wanalea watoto wao wawe watu wa maana, waweze kurithi mali na kuendeleza wewe ulikua unafanya nini? Uache kulea watoto wako kwa misingi imara afu unatafuta mchawi nani? Hili ndo kosa kubwa la wamatumbi mnadhani malezi ni bahati nasibu. Kufeli kwa watoto wako says alot about you kuliko watoto wenyewe ila wamatumbi bado hamjui hilo nyie mnajua kuzaliana tu ila malezi mnaacha yajiendeshe.
😁😁Sasa mzee kaona isiwe taabu kapeleka urithi msikitinii kaona matoto majinga majinga na yasiyo mtii na kumsikiliza.
☺️😊 Ndugu yangu bufa mlezi mkuu kwa sisi wa KRISTO ni YESU KRISTO wangap tumeshuhudia Wana walea watoto kwenye geti Kali na Sheria kama za enzi ya mafarisayo na masadukayo lakini Bado watoto wakapotea kitabia.
NB.ni sahihi kabisa na muhimu kabisaa KULEA watoto kwa misingi mkuu na kufuata maadili ya JAMII husika.
Kweli mkuu kwenye hili naungana na mzee kuwanyima watoto wajinga wasio jitambua eneo lake na kuupa msikitiii
Labda kaona hiyo nyumba watoto😁😁Sasa mzee kaona isiwe taabu kapeleka urithi msikitinii kaona matoto majinga majinga na yasiyo mtii na kumsikiliza.
☺️😊 Ndugu yangu bufa mlezi mkuu kwa sisi wa KRISTO ni YESU KRISTO wangap tumeshuhudia Wana walea watoto kwenye geti Kali na Sheria kama za enzi ya mafarisayo na masadukayo lakini Bado watoto wakapotea kitabia.
NB.ni sahihi kabisa na muhimu kabisaa KULEA watoto kwa misingi mkuu na kufuata maadili ya JAMII husika.
Kweli mkuu kwenye hili naungana na mzee kuwanyima watoto wajinga wasio jitambua eneo lake na kuupa msikitiii
Angeweza kuiuza,awagawie kila mmoja kiasi,kuliko kuiachia free kama haihitajiLabda kaona hiyo nyumba watoto
Watakuja kuumizana tu,kaona Acha aitoe wafku
Ova
Kweli mkuu mzee akihojiwa Kuna kitu kaamua kuepusha.Labda kaona hiyo nyumba watoto
Watakuja kuumizana tu,kaona Acha aitoe wafku
Ova
Mpaka ukiona hivyo ujuwe kuna shida kati ya mzee na watotoAngeweza kuiuza,awagawie kila mmoja kiasi,kuliko kuiachia free kama haihitaji
Mali za urithi watoto tumbo moja tu kama hawana maelewano ni timbwili!Kweli mkuu mzee akihojiwa Kuna kitu kaamua kuepusha.
Maana ndugu wasije wakatoana roho kama TX_MOSHI WILLIAM ALIVYO IMBA KWENYE WIMBO ULE WA TUNATOANA ROHO ( KILIO CHA MTU MZIMA)
Mambo ya mali za urithi haina cha umatumbi wala kasoma hajasomaKama watoto hawana misingi mizuri ni kosa la nani? Wakati wengine wanalea watoto wao wawe watu wa maana, waweze kurithi mali na kuendeleza wewe ulikua unafanya nini? Uache kulea watoto wako kwa misingi imara afu unatafuta mchawi nani? Hili ndo kosa kubwa la wamatumbi mnadhani malezi ni bahati nasibu. Kufeli kwa watoto wako says alot about you kuliko watoto wenyewe ila wamatumbi bado hamjui hilo nyie mnajua kuzaliana tu ila malezi mnaacha yajiendeshe.