Mzee ana maeneo mengine mashamba mtwara.Ukisikiliza vizuri video dakika ya 4 (4.00 to 4:50), Mtoto anasema Mzee wao ana maeneo mengine kwa ajili ya kuwarithisha watoto wake.
Ni kweli mkuu.Mali za urithi watoto tumbo moja tu kama hawana maelewano ni timbwili!
Sasa mzee kama hyo lazima kazaa na wanawake 3,4
Huyo mzee kachungulia kitu
Ova
Umesema kweli Kuna watoto wanasikilizia mali za urithi then wafanye anasa na matanuziiii hio ni mbaya ZaidiiiMpaka ukiona hivyo ujuwe kuna shida kati ya mzee na watoto
Kikubwa mzee kaitoa akiwa na akili zake timamu
Nnavyowajuwa watoto wa kko,kino,magomeni,ilala kwa kusikilizia mali ya urithi sahv ni maumivu tu
Ova
ni sheria au kwa sababu hushurutishwi ndo maana unasema hivyoBiblia siyo sheria.
Si vyema kujenga msikiti na kuwaacha watoto wake wanaishi maisha ya ajabu.Yes, na kuhusu kutokukubaliana, ameeleza dakika ya 3:50
Hapana, sheria za nchi zinajulikana.ni sheria au kwa sababu hushurutishwi ndo maana unasema hivyo