secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Nyie ndo wale mnaoambiwe mkaijaze dunia na mnakubali hata kama hamna cha kuwalisha watoto.Nachukiaga sana binadamu mwenye nguvu zako huna ulemavu, akili timamu kuanza kugombea mali za urithi.
Kwann usitafute zako?, umekuja dunian kuwa tegemezi?, yaan mzee wawatu kaamua zake atumie jasho lake kujitolea kwaajili ya dini yake (sadaka yenye kuendelea) ila mitoto utakuta imefuga vitambi na misuli inagombea mali za mzee wao ambazo muda huo utakuta mzee alishatimiza wajibu wake wa kuwalea, kuwalisha, kuwasomesha n.k. ila bado wanampangia matumizi ya mali zake😡
Pia atwambie. Wale watoto waliouza nyumba hapo kariakoo je kuna yeyote alishawahi jikwamua kiuchumi kwa kuuza nyumba??Tafuta mali zako mzee yupo sahihi kabisa.
Matoto Kama wewe ni hasara mnapenda vya urithi TAFUTA MALI ZAKO KAMA NI RAHISI.
NB. KUNA MTOTO WA BA MKUBWA BAADA YA MZEE KUFARIKI WAMEUZA ASSET ZAKE ZOTEEE NOW WAPO MAHAKAMANI KUDAI MIRATHI.
Sijui wamemfanya nini huyu mzeeHapo kuna shidd mzazi bora ni yule anayemuachia urithi mtoto wake, hapo napingana na huyo mzee, unaacha watoto waanze moja thats very wrong
Biblia siyo sheria.urithi ni haki ya mtoto hata bibilia imesisitiza nyumba na mali mtoto anapaswa apewe na baba yake
pia bibilia imesisitiza ni lazima baba aache urithi kwa wanawe
Kama hao watoto wangekuwa wadogo tungemlaumu mzee kwa maamuzi yake, ila kwakuwa mzee keshatimiza majukumu yake kwa kuwalea mpaka wamefikia utu uzima wa kujitafutia basi mzee hana lawama maana alishakamilisha majukumu ykeNyie ndo wale mnaoambiwe mkaijaze dunia na mnakubali hata kama hamna cha kuwalisha watoto.
Badilikeni tafadhali.
Yeye kama hakupewa chochote basi baba yake anamakosa. Kama hataki kuwapa urithi watoto kwani aliwazaa? Nani alimwambia ajamiiane kwa raha zake na kuwazaa watoto ambao hataki kuwahudumia?Hakuwasomesha na kuwapa chakula mpaka pale mlipoweza kujitegemea ? Kwani yeye Babu yake alimuachia nini tuanzie hapo kwanza ?
Tutofautisha Obligation (wajibu) na uamuzi / maamuzi ; By the way kitendo cha hawa kumpeleka mahakamani inaonyesha ni jinsi gani they don't deserve hata sumni ya huyu mzee...
Kwa mali zao walizotafuta wenyewe? Acha kuwapangia wenzio maisha bwana huu ushauri ungempa baba yakoje ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
View attachment 3379922
Huyo Mzee kwa tabia aliyoonesha ataishia Jehanam.
Kama watoto bado wanalamika juu ya kitendo cha mzee kutoa nyumba kwa msikiti inamaanisha kuwa hakuwalea watoto wake vizuri/hakuwaandalia maisha mazuri.Kama hao watoto wangekuwa wadogo tungemlaumu mzee kwa maamuzi yake, ila kwakuwa mzee keshatimiza majukumu yake kwa kuwalea mpaka wamefikia utu uzima wa kujitafutia basi mzee hana lawama maana alishakamilisha majukumu yke
Hii ni shida..je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
View attachment 3379922
Kwa upumbavu wake wa kudanganywa kuwa ukitoa Mali kanisani au msikitini unapata thawabu ilihali umewaacha watoto na familia katika masikitiko.Kwanini?
Mkuu tunasema hivi Kwa sababu ni tabia ya waafrika wengi ndiyo maana tunapiga kelele.Unawapangia watu cha kufanya
Kwa mali zao walizotafuta wenyewe? Acha kuwapangia wenzio maisha bwana huu ushauri ungempa baba yako