femalepilot
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 258
- 118
wewe ni mwenyekiti wa wanawake wenye roho mbaya,
kama ndivyo ulivyo wazazi wako wamekula hasara.
kama alizingua kipindi hicho mwanae ni mtoto sasa kivipi alete lawama za kijinga Hili liwe fundisho ...Asisamehewe kabisa
Wakati huyu mzee ana pesa ndefu ikawa Diamond akimfata magomeni kumsalimia tu alimfukuza akimwita chokoraa, akuwai kujua anakula nini wala anapona na nini akiugua. Leo unatafuta huruma kwenye media, malipo siku hizi ni hapa hapa duniani.
Watoto ulioona wa maana wako wapi? Diamond angeishia kwenye drugs kama wenzake wa Tandale ungemkumbuka? Mi naomba usife mapema ili uendeleee kukiona cha moto.
watu wanaomtetea huyo baba naona ni wale ambao hawakutelekezwa na baba zao,unaenda nyumbani kwakwe kumuomba ada anakwambia toka mbwa we unatia harufu tu hapa,hahahaa sikupi hata mia na laana yako hata uende kwa mganga mkuu wa dunia hainipati!Inauma sana nyie msiseme,unaenda shule viatu vimechanika ,huna madaftari wakati babako yupo na ana uwezo!
Muache kutelekeza watoto liwe fundisho,diamond alishasema huyo baba alikuwa tajiri Lakin aliwatelekeza analilia nini
Aisee hawajui uchungu wakutelkekezwa hawa, nimekulia kwenye ndoa takatifu ila nilijifunza kitu kutokana na kuona wazazi wangu wakiwasaidia watoto wengi waliotelekezwa, inatia uchungu sana sana, unakuta baba anao uwezo kabisa ila kaangalie mwanae anavyohaika kutafuta ada kwakuunga unga hadi anamaliza shule, mtoto akifanikiwa baba yupo kwenye fainali ya uzee ndio anamkumbuka mtoto, aisee!!!! si wakusamehewa hawa watu kabisa
kwa zari show ndio nn what the hell kudos
baba ni baba tu zari show tupa kule .kwa hospital bei gani kipi zaid ya radhi ya mzazi na show za kijinga
wazazi ni Munguvwa pili haijarishi amekufanyia nn.
hingera pdidy kwa kumkumbusha domo
Dawa ya jeuri nikuwa jeuri zaidi yake