chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Huyu baba anatafuta huruma aiseeee kipindi anamuacha alikua wapiii asituharibie siku ye aumwe ajiuguze tu kwani alimzaa daimond peke yake kelebu wahed😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰
kwa hiyo analipiza kisasi?du jamani binadamu hatari kwa nini asimsamehe ili nae aje asamehewe hapo mbele ya safari,wengi tuliachwa na baba zetu kwa sababu moja au nyingine na siyo lazima kujua kwa nini baba yako alipotea,tunasubiri akianza kupukutika na kurudi mitaani kama kawaida ya wasanii wa bongo ndiyo tutaongea sana
Asifebabayako.unaombea wawenzako. dah. wentakuogopaq.kamawale nakisi. waalbino
umeona eeeh...!!mi namuona mnafki tu
kwanza aache leo watu wale gud time
watu kesho km hawafi sijuiiio...!!!
Eda amalize. naejamanAlivyokuwa anakula ujana alimuacha akiteseka tandale na mama yake,sasa mambo magumu anakumbuka mtoto.Hivyo Diamond angekuwa hana kitu angemuomba nani?tupa kule hakuna cha radhi wala nini,kwanza radhi ya kutesa mtoto na mama imempata yeye
kama alizingua kipindi hicho mwanae ni mtoto sasa kivipi alete lawama za kijinga Hili liwe fundisho ...Asisamehewe kabisa