chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Starehe zikipitiliza ndio mambo kama haya hutokea na watu hawamtambui MUNGU kabisa siku hizi, anapomsusia mzazi wake anafanya exactly kama alivyofanya mzazi wake awali then anakuwa hana tofauti naye.
Usitende wema kwa kulipiza bali wema iwe ndio tabia yako hapa duniani ni mapito na vyote tunavyoviona vya thamani havijaanza leo vilikuwepo na wameviacha wengi na wengine walivipata lakini hata hawaoni umuhimu wala fahari yake sababu wapo kwenye deathbed na hawana furaha.
Hivyo kuthamini mali na attention ya watu kwa mambo ya muda mfupi hakuzidi thamani ya utu ambayo haina fidia daima.