Baba Diamond: Usisubiri nife mwanangu, nipeleke Hospitali

Baba Diamond: Usisubiri nife mwanangu, nipeleke Hospitali

Starehe zikipitiliza ndio mambo kama haya hutokea na watu hawamtambui MUNGU kabisa siku hizi, anapomsusia mzazi wake anafanya exactly kama alivyofanya mzazi wake awali then anakuwa hana tofauti naye.

Usitende wema kwa kulipiza bali wema iwe ndio tabia yako hapa duniani ni mapito na vyote tunavyoviona vya thamani havijaanza leo vilikuwepo na wameviacha wengi na wengine walivipata lakini hata hawaoni umuhimu wala fahari yake sababu wapo kwenye deathbed na hawana furaha.

Hivyo kuthamini mali na attention ya watu kwa mambo ya muda mfupi hakuzidi thamani ya utu ambayo haina fidia daima.
 
aende zake huko huyo mzee alikua wapi kipindi anasuffer na mama ake na afe kabisa...!!!
 
Huyu baba anatafuta huruma aiseeee kipindi anamuacha alikua wapiii asituharibie siku ye aumwe ajiuguze tu kwani alimzaa daimond peke yake kelebu wahed😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰

umeona eeeh...!!mi namuona mnafki tu
kwanza aache leo watu wale gud time
watu kesho km hawafi sijuiiio...!!!
 

Attachments

  • IMG-20150501-WA0076.jpg
    IMG-20150501-WA0076.jpg
    8.8 KB · Views: 240
kwa hiyo analipiza kisasi?du jamani binadamu hatari kwa nini asimsamehe ili nae aje asamehewe hapo mbele ya safari,wengi tuliachwa na baba zetu kwa sababu moja au nyingine na siyo lazima kujua kwa nini baba yako alipotea,tunasubiri akianza kupukutika na kurudi mitaani kama kawaida ya wasanii wa bongo ndiyo tutaongea sana

Usipotoshwe na haya magazeti..Diamond alisha msamehe baba yake na nilimsikia kabisa akihojiwa!
 
Asifebabayako.unaombea wawenzako. dah. wentakuogopaq.kamawale nakisi. waalbino

huyu mzeee ni chizi tena hajielewi
alivyopiga mimba akakimbia jeee....!!!
muache assuffer asijitoe fahamu leo ndo amekua lulu asitukate stimu hapa ...
kitu mlimani cityyyy....
kimenukaaaaa
 
Duu huyu mzee anaonekana ni msela nondo! Nina hakika ni story za magazeti tuu Diamond hawezi kumtupa maana alisha sema ali msamehe na huwa ana msaidia!
Lakini na yeye asipende kutoa lawama kwa kitu alicho kipiga teke!
 
Alivyokuwa anakula ujana alimuacha akiteseka tandale na mama yake,sasa mambo magumu anakumbuka mtoto.Hivyo Diamond angekuwa hana kitu angemuomba nani?tupa kule hakuna cha radhi wala nini,kwanza radhi ya kutesa mtoto na mama imempata yeye
 
Duh kweli kesho ni kubwa kuliko Jana.wanaume tujifunze tusiwe tunatelekeza watoto
 
Alivyokuwa anakula ujana alimuacha akiteseka tandale na mama yake,sasa mambo magumu anakumbuka mtoto.Hivyo Diamond angekuwa hana kitu angemuomba nani?tupa kule hakuna cha radhi wala nini,kwanza radhi ya kutesa mtoto na mama imempata yeye
Eda amalize. naejaman
 
Weeeraaaweeraaaa dinaaaaa topikoklosed pendeszaaaaasanaaaa achakabSaaa

Dadawema ulichezea zanani kwenyye motoq.loh
Ukisema waniniq wenzioq.watampatalini
 
kama alizingua kipindi hicho mwanae ni mtoto sasa kivipi alete lawama za kijinga Hili liwe fundisho ...Asisamehewe kabisa

Ngoja aanze kutembea uchi tu karibuni ataanza,baba anaumwa we unaendekufanya anasa na mwanamke wa uzinifu tu,nakusihi diamond msikilize baba yako.
 
msimlaumu diamond waliotelekezwa na baba wanaujua uchungu huyo dingi apige mkausho tu imagine diamond asingekua na mafanikio yoyote uyo mzee angemkumbuka? kikubwa kasamehewa na mwanae atulie zamu yake kuteseka malipo duniani hapa hapa mnaongea shit tu mnajua diamond kaishije midingi mingine bwana kala bata ujanani kajisahau ku invest aje asumbue watoto
 
Back
Top Bottom