Baba JPM hajafa ila amelala ufunguzi wa ikulu leo alikuwepo japo hakuongea😭🤐

Damu ya Ben Saanane itakutesa sana hadi unaingia kaburini.
 
Kama mtu anajiunga leo na JF anaweza kuhisi amekutana na member mstaarabu,muelewa na asiye na mawaa.Kumbeeee...Makumbena ana nafuu!Hivi unakumbuka ulivyokuwa unaandika kishabiki na kipunguani kuhusu kupotea kwa Ben Saanane?Kuhusu kisiwa na joka limezalo mtu?Acha upumbavu wako.Kufa na wewe!
 
Akufe tu huyo takataka ...kwanini nasema ni takataka ...sababu ni jinsi gani ameweza yeye na genge lake la wahuni kuonyesha namna wanavyo weza kutumia majaji na mahakimu wahuni pamoja na mahakama kwa ujumla kufanikisha uhuni wao kwenye hukumu ya KIHUNI YA MUSIBA ...hii nchi ina majaji na mahakimu wangese sana , hata mahakama yetu ni toilet paper ya wahuni wa msoga.
 
Nyinyi wapuuzi mlio mpinga jpm leo mnajidai kumkubali ...mkiambiwa wahuni wa ili taifa wanatakiwa kuuwawa mnasema ni udikteta... ila jpm alikuwa mpole sana huyu mzee wa msoga alitakiwa kuuliwa mapema sana tena sana ...lakini haya yote yametokea kwa manufaa ya kufungua akili za watz ambao wengiwao ni waoumbavu sana vichwani ili wajue tz anatakiwa rais wa namna gani.
 
Damu ya Ben Saanane itakutesa sana hadi unaingia kaburini.
Ben saanane kauliwa na chadema ...ndiyo maana mbowe siku hizi umsikii akiongelea icho kifo wala kwenye makubaliano yake na samia ajathubutu kuongelea uchunguzi wa icho kifo ...chadema ilifanya ilo tukio ikishirikiana na maadui wa jpm walio ccm ili kumchafua JPM kimataifa huo ndiyo ukweli ...kama uamini mtafute mbowe mwambie kwanini "kifo" cha ben kakifumbia macho kwa sasa
 
Baada ya wafuasi wa Kibwetere na wafuasi wa yule mchungaji wa Kenya waliofungishwa Hadi kufa, wanaofuatia kwa ujinga ni wafuasi na watetea rigasi wa jiwe. Kwanini mmeanzisha dhehebu la kijinga hivi?

Magufuli aliingia kwenye uongozi kwa ghafla na ameondoka kwa ghafla na atasahaulika kwa ghafla vilevile. Fanyeni mengine haya ya rigasi yanatuchosha asee.

By the way, jana haikuwa sherehe za ufunguzi wa kuhamia Dodoma bali ufunguzi wa Ikulu ambayo definitely haikujengwa na JPM. Tukifanya ufunguzi wa kuhamia Dodoma bila shaka tutamtaja. Full stop.
 
Chuki zako za kipumbavu zitakupa sonona wewe. Mbona mnamwandama hivyo JK? Wakati ni rais mpole, diplomatic na mpenda watu. Kama mnalilia kutajwa jina, mkimtaja ninyi inatosha. Nyerere na Mkapa wameifanyia mangapi nchi hii? Mbona hatujaona kasumba yenu hii ya kupandikiza chuki, ukabila na migawanyiko ikiwahusisha?
 
Afu tuseme wanakijiji wa Kijiji Cha shakahola Kenya kumfia Yesu Kwa kumwamini mchungaji wao Makenzie walikuwa wajinga.....ona hii sasa
 
Kwahiyo wachonga majeneza tujiandae kwa biashara si ndiyo!?
 
Huyu mzee mwisho wake utakuwa mbaya sana. [emoji848]

Hata uso wake unaonesha ni mtu mwenye hila na ajenda za mficho.
Hakuna mwisho mbaya kama alivyoondoka Mwendazake. Lilikufa bila ht kuombewa angalau liugue vzr.
Lile jitu ukweli lilikuwa na laana
 
Yule mwendakuzimu aliwaroga hawa ht uwaeleze vp ...
 
Hapana. Changamoto zangu ziliisha mara tu baada kufa kwa shetani lile.
Sasa hv furaha yangu ni kulinanga tu na huwa nafarijika zaidi nikipokea matusi kutoka kwa wafuasi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…