Baba Levo: Diamond Platinumz alitaka apewe Milioni 300 na Yanga SC aende Siku ya Wananchi, ila Yanga SC hawana Hela na wakashindwana hapo

Baba Levo: Diamond Platinumz alitaka apewe Milioni 300 na Yanga SC aende Siku ya Wananchi, ila Yanga SC hawana Hela na wakashindwana hapo

Leo Baba Levo ambaye ni mwana Yanga SC Mwenzenu na Kutwa anaisema Simba SC amekuwa Muhuni na Mbaya Kwenu?
Mkuu wacha tujikite na kesho panapo majaaliwa naona umekuja na nguvu ya ushindi sijui umeitoa wapi wakati siku zote ulikua unaona mnakufa..
 
Haya huyo Dayamondi hakuja lakini siku ya mwananchi ilifana
 
hili nalo nilakujadili...?
kwani kishindwana kwenye biashara si kupo tu!
 
Back
Top Bottom