GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama hakitoboa huyu basi bunge litakuwa la ovyo kuwahi kutokea tangu uhuru wa Tanganyika!
 
Tuliwashauri wekeni kiwango cha chini kabisa cha elimu kwa anayewania Ubunge iwe Degree moja, mngenasa chawa wote.

Sasa kuna siku mtajikuta Bumge nzima linakuwa la machawa watupu.
Wenye degree wamefanya nini?.. bunge ni la watanzania wote
 
Reactions: K11
Hayo ni matokeo ya kata moja tu, vituo vingine vinavyoendelea kutangaza anaongoza mbunge wa Sasa kigoma
 
Sema kati ya Zito na Babalevo bora Zitto asee,hata kama wote machwa lakini bora Zitto. Anaweza ibua hata mjadala fikirishi kwa kiasi chake.
Kuongeza wagonga meza bungeni inauma sana.
Akina Babu tale washaonekana jamani wasije wakajaa humu. Hakuna m Tanzania aliyepo kwa ajili ya masilahi ya wananchi wala nini. Bora wajumbe wawe ni watu wanaojielewa,wenye maisha ya juu [ matajiri na wenye elimu wa eneo husika]. Lakini wajumbe ndio hohehahe kupindukia na elimu ya kusikitisha
 
Yaani KILUMBE NENGA jasusi kawekwa pembeni,kapita baba levo?
 
Tuliwashauri wekeni kiwango cha chini kabisa cha elimu kwa anayewania Ubunge iwe Degree moja, mngenasa chawa wote.

Sasa kuna siku mtajikuta Bumge nzima linakuwa la machawa watupu.
Degree ndio zinaongoza? Kipindi cha Magufuri ma profesa na PhD zilikuwa zimejaa serikalini zimeleta tija gan
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…