nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
mzee ukosefu wa utiifu huenda ikawa ni zaidi ya kucheatKama hajacheat mpe nafasi tu, wanawake ndo hao hao
Tandika makofimzee ukosefu wa utiifu huenda ikawa ni zaidi ya kucheat
kesi za copro punishment naziogopa mkuu, gafla kazima oohTandika makofi
Samahani mkuu nifafanulieEndelea tu ku-ignore red flags, siku likikukuta jambo utajifunza kwa vitendo kuwa unayeishi naye ni wewe, siyo baba yake.
Mtu mzima habadiliki. Kama kuna tabia umeziona ambazo hauwezi kuzivumilia ni bora uchukue hatua mapema. Achana na ushauri wa baba mkwe. Umeoa wewe, wewe ndio unaishi na huyo mwanamke, siyo baba yake.Samahani mkuu nifafanulie
Mkuu nipo nae mbali mikoa miwili tofauti akipatwa na dharura njiani?Wenye akili hawapigi simu wakwe, anashtuka tu mwanae yupo kwao bila taarifa
naona huna experience ya kuwafahamu udhaifu wa wanawake ukisha fahamu hili utaweza kusolve matatizo mwenyewehivi ni kwanini? wanasema busara ni kumrudisha mtoto wa wenyewe kwa wazazi endapo unaona hakidhi vigezo ikiwemo ukosefu wa utiifu. Sasa Leo nimepiga simu mzazi kasema hapana ataongea nae kwa mara nyingine tena nimpe nafasi nyingine.
siku za hapo nyuma mara 3 hivi nimeripoti kuhusu vitendo vya uvunjifu wa nidhamu ili aonywe na ilifanyika hivyo ila Leo simu ilikua ya tofauti kidogo nimeomba arudi akaonywe kule physically.
Hawa wanawake, kuna muda unapaswa uwe tu kama yule rais wa Ufiilipino iwapo utadakwa na madawa ya kulevya.
Sasa nimekuelewa. kinachoboa huyu walimpointi wazazi yaani vetting ilifanyika kule nyumbani maana nilikua nishawazila kabisa wanawake.Mtu mzima habadiliki. Kama kuna tabia umeziona ambazo hauwezi kuzivumilia ni bora uchukue hatua mapema. Achana na ushauri wa baba mkwe. Umeoa wewe, wewe ndio unaishi na huyo mwanamke, siyo baba yake.
Mtu hakusikilizi kabisa na hakutii wewe Mume unaishije naye?Kama hajacheat mpe nafasi tu, wanawake ndo hao hao
Mkuu mimi akili yangu siwezi kuiumiza kufikiria hawa watu natumia kufikiria kutafuta pesa. iwapo anakiuka amri zangu tu sina mchezonaona huna experience ya kuwafahamu udhaifu wa wanawake ukisha fahamu hili utaweza kusolve matatizo mwenyewe
ushamharibu hafai kurudishwahivi ni kwanini? wanasema busara ni kumrudisha mtoto wa wenyewe kwa wazazi endapo unaona hakidhi vigezo ikiwemo ukosefu wa utiifu. Sasa Leo nimepiga simu mzazi kasema hapana ataongea nae kwa mara nyingine tena nimpe nafasi nyingine.
siku za hapo nyuma mara 3 hivi nimeripoti kuhusu vitendo vya uvunjifu wa nidhamu ili aonywe na ilifanyika hivyo ila Leo simu ilikua ya tofauti kidogo nimeomba arudi akaonywe kule physically.
Hawa wanawake, kuna muda unapaswa uwe tu kama yule rais wa Ufiilipino iwapo utadakwa na madawa ya kulevya.
Mkuu kunywa soda Pepsi baridi nalipa ikibidi ongeza nyingineMtu hakusikiliza kabisa na hakutii wewe Mume unaishije naye?
Kwa vip?ushamribu hafai kurudishwa
lengo ilikua akafundishwe kule physically akinyooka huenda ningewaza arudi japo angekaa.ushamribu hafai kurudishwa