Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Huyo baba kamchoka binti yake😀Bora meno wataeka bandia, hao wanao uawa kabisa? Kama mimi nafunga safari naenda kumchukua sisubiri aletwe, maana mkwe mpaka kufikia hatua kuwapigia simu kwao binti shida ipo kubwa na amefika mwisho