Baba mkwe hataki nimrudishe mwanae anasema atamkanya kwa mara ya nyingine

Baba mkwe hataki nimrudishe mwanae anasema atamkanya kwa mara ya nyingine

Kwanini hajakubali? hivi wazazi hawacaluculate effects za kukaidi ombi la kurudishwa?
Hivi unaweza kuwa na sababu za msingi halafu badala ya kufanya maamuzi ukapiga simu huko ulikopiga?? Nadhani ninyi 2 ndio mna maamuzi.
 
Uzinzi tu ndio unaweza kumuacha fasta. Hayo ya utovu wa nidhamu unamvumilia tu mpaka mwisho wa maisha yenu kama hakuna vitisho vya kuana. Ila ukishindwa kuvumilia unaacha tu kwa amani tena kimyakimya unamrudisha kwao au unajitenga naye na mahari unaacha hata kama hukuzaa naye. Amani ni tunu inatakiwa sana ndoani
Yaani uishi na mwanamke ndani asiekutii na kukuheshimu? BIG NO
 
Kosa kubwa la kumrudisha m/ke kwao ni kucheat tu hayo mengine ni rahisi sana kuya-solve ,dawa ya kiburi ni jeuri au dawa ya bishoo kuwa bishoo zaidi yake ,dawa ya moto ni moto ,badili lyf style yako naye atabadilika na kuanza kukutiii....inaonekana haumjali kwenye mahitaji yake.
Sasa hapo unamkomoa nani,pia hiyo ndio itakuwa na maana gani sasa? Mwanamke asiekutii na kukuheshimu piga chini ASAP.
 
Mkuu hainihusu vip wakati nilienda kumchukua mwenyewe? Sasa akitokea hajafika nyumbani nani atawajibishwa? yani unafikiri mzee wake akisema tunamtaka mtoto wetu kama ambavyo tumekukabidhi utasema nini mbele ya kizimba?
Una utoto mwingi,ndio maana hakutii wala kukuheshimu.
 
Kipindi hiki cha sikukuu, nenda nae kula sikukuu. Mkifika jifanye unaenda maliwatoni.

Ndo imeisha hiyo. Atakukuta nyumbani.
 
Ukiona mke kafikia hatua hiyo ya utovu wa nidhamu ujue wewe Ndio unamatatizo/umepwaya Sana Mkuu

Tulishasema katika vikao vyetu kuishi na mwanamke kunahitaji akili/maarifa na sio vitu wala kisomo Why This? B'se mwanamke amepewa kuelewa hivyo anadai Akili kutoka kwa mme wake

Kwaiyo ukiona mke kakushinda usitafute mchawi mkuu, mchawi ni wewe mwenyewe 😂👉jiangalie mwenyewe, kutathmini utagundua kuna kitu kikubwa umekosa kwaajili ya mke wako Ndio maana hakutii
Jidanganye,ngonjera unaleta kwenye uhalisia.
 
Bado upo too general mkuu jaribu kuja with clear examples

MUNGU ndie alie kifanya kiumbe mwanamke kwa kuchukua ubavu wa mwanaume, na Wakati wa hilo zoezi mwanaume alikuwa katika usingizi mzito Hivyo hakuona wala kuelewa kilichofanyika

Ndiyo maana mwanamke Hawezi kukaa na Siri kwasababu yeye mwenyewe ni Siri

KUISHI na mwanamke kunamuhitaji aliemfanya (i.e muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo ndani yake) B'se yeye pekee yake ndie anaemjua na kumfahamu, Wewe kama wewe Huwezi kuishi na huyo mwanamke na sio huyo tu mwanamke yoyote katika NDOA huwezi kuishi nae na Sio wewe tu MWANAUME yoyote hawezi KUISHI vyema na Mwanamke asipokuwa na yule aliemfanya NDANI ya moyo wake yaani MUNGU
 
Hivi ni kwanini? wanasema busara ni kumrudisha mtoto wa wenyewe kwa wazazi endapo unaona hakidhi vigezo ikiwemo ukosefu wa utiifu. Sasa Leo nimepiga simu mzazi kasema hapana ataongea nae kwa mara nyingine tena nimpe nafasi nyingine.

Siku za hapo nyuma mara 3 hivi nimeripoti kuhusu vitendo vya uvunjifu wa nidhamu ili aonywe na ilifanyika hivyo ila Leo simu ilikua ya tofauti kidogo nimeomba arudi akaonywe kule physically.

Hawa wanawake, kuna muda unapaswa uwe tu kama yule rais wa Ufiilipino iwapo utadakwa na madawa ya kulevya.
HUNA AKILI YA KUISHI NA MWANAMKE BORA UBAKI BILA KUOA TU,UENDELEE KUSUKUMA PULI

MRUDISHE MTOTO WAWATU KWAO
 
Mkuu hainihusu vip wakati nilienda kumchukua mwenyewe? Sasa akitokea hajafika nyumbani nani atawajibishwa? yani unafikiri mzee wake akisema tunamtaka mtoto wetu kama ambavyo tumekukabidhi utasema nini mbele ya kizimba?
mulinikabidhi?!! kwani mwanamke ni furushi? ..yule ni mtu mzima na maamuzi yake...ebooooh!
 
Hivi ni kwanini? wanasema busara ni kumrudisha mtoto wa wenyewe kwa wazazi endapo unaona hakidhi vigezo ikiwemo ukosefu wa utiifu. Sasa Leo nimepiga simu mzazi kasema hapana ataongea nae kwa mara nyingine tena nimpe nafasi nyingine.

Siku za hapo nyuma mara 3 hivi nimeripoti kuhusu vitendo vya uvunjifu wa nidhamu ili aonywe na ilifanyika hivyo ila Leo simu ilikua ya tofauti kidogo nimeomba arudi akaonywe kule physically.

Hawa wanawake, kuna muda unapaswa uwe tu kama yule rais wa Ufiilipino iwapo utadakwa na madawa ya kulevya.
Hapo wwe ndiyo umefeli kama kichwa cha familia inabidi tukurudishe jandoni ukanalowe upya jinsi ya kuwaongoza hao viumbe, nyoosha hicho kiumbe na ukiona kimeshindakana piga chini mazima!!
 
Kuna wazazi wamewachoka watoto wao. Mimi ningesema sawa baba mrudishe haraka.
Mara kadundwa katolewa meno...
Bora meno wataeka bandia, hao wanao uawa kabisa? Kama mimi nafunga safari naenda kumchukua sisubiri aletwe, maana mkwe mpaka kufikia hatua kuwapigia simu kwao binti shida ipo kubwa na amefika mwisho
 
Back
Top Bottom